Mkuu - hakuna Pilot ambae ana CPL ambae yuko kijiweni. Hiyo professional ni ghali sana kuisoma. Gharama zake mpaka mtu anapata CPL sio mchezo (inakwenda kwenye USD 70,000 hivi). Hivyo hauwezi kuwakuta wakiwa kijiweni; maana ni wachache wanaoweza kujisomesha kwa pesa hiyo.