Au wamepokea kitu kutoka Airbus kwa sababu Airbus hawataki kuingia nuksi kama ya Boeing.Na vipi ile ripoti ya mara ya kwanza inayosema kwamba kulikuwa na hitilafu kwenye mfumo wa injini.
Pakistan ilikuwa nchi ya mwanzo kukataa lockdown Kama hujui!Sasa wa kulaumiwa Rais wao kwanini hakuwaondoa hofu wananchi wake wauzoee ugonjwa kama alivyofanya magufuli mpaka wanaangusha ndege,hovyo kabisa.