Marubani wa Urusi watatunukiwa tuzo baada ya tukio la kuzuia ndege zisizo na rubani za Marekani

ngajapo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
1,782
Reaction score
3,525
Marubani wa ndege za Urusi ambazo zilifanya jitihada za kutambua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa ikifanya kazi ya upelelezi kwenye Bahari Nyeusi wameteuliwa na kupewa tuzo za heshima, Wizara ya Ulinzi ilitangaza Ijumaa. Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu "amewapa tuzo ya serikali marubani wa ndege ya Su-27 walioizuia ndege ya Marekani MQ-9 isiyo na rubani iliyokiuka" eneo lililowekewa vikwazo la safari za ndege lililoanzishwa na Moscow wakati wa mzozo wa Ukraine, taarifa ya wizara hiyo ilisema. wizara Imeongeza kuwa mipaka ya eneo husika ambayo haitakiwi kufikiwa na adui imefahamishwa kwa watumiaji wote wa anga ya kimataifa. Wizara, hata hivyo, haikutoa taarifa zozote kwamba ni aina gani ya tuzo waliyopewa marubani hao.

source: RT
Russian pilots to be awarded after US drone incident
The service members prevented the UAV from violating a restricted flight area, the Defense Ministry has said
Russian pilots to be awarded after US drone incident:

The pilots of the Russian jets that scrambled to identify an American drone that was conducting a reconnaissance mission over the Black Sea have been nominated for decoration, the Defense Ministry announced on Friday.

Russian Defense Minister Sergey Shoigu “has put forward for state awards the pilots of the Su-27 aircraft who prevented the US MQ-9 unmanned aerial vehicle from violating” the restricted flight zone established by Moscow amid the Ukraine conflict, the ministry’s statement read.

It added that the borders of the area in question had been made known to all users of international airspace.

The ministry, however, did not provide any personal information about the pilots, nor did it reveal what awards they might receive.
 
Hao ndio marubani haswa
Huku wataalamu wa mambo ya anga wanawajadili na kusema ilikuwa na hatari sana kitendo walichofanya

Ndege zao speed ni 1200 mile kwa saa na Reaper drone speed yake ni 482 km/h
Ila speed ya ndege zao.walipunguza sana walipokaribia hiyo Drone sasa kosa dogo tu lingefanyika na kugongana ilikuwa mbaya sana
Ila pilots hao ni balaa

Wababe hao wanazidi kuonesha uwezo wao
 
Kwa vichekesho zaidi bonyeza hapa
Screenshot_20230317_202213_Instagram.jpg
 
Lile wese lilikua jingi sana

Licha ya kuguswa mpaka kupelekea kudondoka lkn sidhan km lilipata mchubuko

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Hao ndio marubani haswa
Huku wataalamu wa mambo ya anga wanawajadili na kusema ilikuwa na hatari sana kitendo walichofanya

Ndege zao speed ni 1200 mile kwa saa na Reaper drone speed yake ni 482 km/h
Ila speed ya ndege zao.walipunguza sana walipokaribia hiyo Drone sasa kosa dogo tu lingefanyika na kugongana ilikuwa mbaya sana
Ila pilots hao ni balaa

Wababe hao wanazidi kuonesha uwezo wao

Ngoja nikupe siri; Warusi walitaka kutoiharibu hiyo Drone ndio maana walichukua njia hiyo ya hatari ili itakapoanguka waichukue ikiwa intact kwa ajili ya kui-study (reverse engineering) la sivyo ilikuwa rahisi tu kwao kui shoot na kuingamiza yote.
Ndio maana Warusi waliwahi katika eneo ilipoangukia hiyo drone ili waichukue ikiwa intact.
 
Jamaa wana mikakati haswa, thanks kwa kuniongezea hilo

Yaani umenikumbusha wazungu walivyoiba utaalamu wa kuitengeneza Concorde maana toleo na ndege ilikuwa plan ya mrusi (concodski) ndio wazungu wakaiba na kutengeneza Concorde ila kwa abiria badala ya vita

Huu ni muendelezo wa kuibiana siri za technology Safi sana

Imagine na sisi tungekuwa tunatengeneza vitu vya mchina hata viberiti tu daa

Waafrika tegemezi hatuachi ni hulka yetu ombaomba
Nimechomekea kwa uchungu tu Mkuu
 
Marubani wa ndege za Urusi ambazo zilifanya jitihada za kutambua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa ikifanya kazi ya upelelezi kwenye Bahari Nyeusi wameteuliwa na kupewa tuzo za heshima, Wizara ya Ulinzi ilitangaza Ijumaa. Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu "amewapa tuzo ya serikali marubani wa ndege ya Su-27 walioizuia ndege ya Marekani MQ-9 isiyo na rubani iliyokiuka" eneo lililowekewa vikwazo la safari za ndege lililoanzishwa na Moscow wakati wa mzozo wa Ukraine, taarifa ya wizara hiyo ilisema. wizara Imeongeza kuwa mipaka ya eneo husika ambayo haitakiwi kufikiwa na adui imefahamishwa kwa watumiaji wote wa anga ya kimataifa. Wizara, hata hivyo, haikutoa taarifa zozote kwamba ni aina gani ya tuzo waliyopewa marubani hao.

source: RT
Russian pilots to be awarded after US drone incident
The service members prevented the UAV from violating a restricted flight area, the Defense Ministry has said
Russian pilots to be awarded after US drone incident:

The pilots of the Russian jets that scrambled to identify an American drone that was conducting a reconnaissance mission over the Black Sea have been nominated for decoration, the Defense Ministry announced on Friday.

Russian Defense Minister Sergey Shoigu “has put forward for state awards the pilots of the Su-27 aircraft who prevented the US MQ-9 unmanned aerial vehicle from violating” the restricted flight zone established by Moscow amid the Ukraine conflict, the ministry’s statement read.

It added that the borders of the area in question had been made known to all users of international airspace.

The ministry, however, did not provide any personal information about the pilots, nor did it reveal what awards they might receive.
Yaani tuzo kwa ile ajali iliyotokana na incompetence ya rubani wa Russia?
 
Ngoja nikupe siri; Warusi walitaka kutoiharibu hiyo Drone ndio maana walichukua njia hiyo ya hatari ili itakapoanguka waichukue ikiwa intact kwa ajili ya kui-study (reverse engineering) la sivyo ilikuwa rahisi tu kwao kui shoot na kuingamiza yote.
Ndio maana Warusi waliwahi katika eneo ilipoangukia hiyo drone ili waichukue ikiwa intact.
Unajifanya mjuaji kuliko warusi kumbe bure kabisa ,eti njia ya hatar nani kakuambia hiyo njia ya hatar au ulitaka watumie kombora hivi unajua thamani ya kombora moja la S400 wewe? . Njia hatar kwako wewe na uwezo wako mdogo wa kufikiri ila kwa warusi ni kawaida ndio maana wanafanya mazoezi mara kwa mara wana mbinu nyingi kwahiyo haina haja ya kupoteza pesa nyingi ikiwa kuna alternative way ambayo ya gharama nafuu pia ni ya kumdhalilisha adui juu ya technolojia yake .maana hapo hiyo drone ya thaman kwa sasa imeonekana duniani si chochote kumbe unaweza kuiangamiza hata kwa mafuta tu kwahiyo watu wataogopa kununua kwa miela mingi kama walivyoitangaza
 
Marubani wa ndege za Urusi ambazo zilifanya jitihada za kutambua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa ikifanya kazi ya upelelezi kwenye Bahari Nyeusi wameteuliwa na kupewa tuzo za heshima, Wizara ya Ulinzi ilitangaza Ijumaa. Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu "amewapa tuzo ya serikali marubani wa ndege ya Su-27 walioizuia ndege ya Marekani MQ-9 isiyo na rubani iliyokiuka" eneo lililowekewa vikwazo la safari za ndege lililoanzishwa na Moscow wakati wa mzozo wa Ukraine, taarifa ya wizara hiyo ilisema. wizara Imeongeza kuwa mipaka ya eneo husika ambayo haitakiwi kufikiwa na adui imefahamishwa kwa watumiaji wote wa anga ya kimataifa. Wizara, hata hivyo, haikutoa taarifa zozote kwamba ni aina gani ya tuzo waliyopewa marubani hao.

source: RT
Russian pilots to be awarded after US drone incident
The service members prevented the UAV from violating a restricted flight area, the Defense Ministry has said
Russian pilots to be awarded after US drone incident:

The pilots of the Russian jets that scrambled to identify an American drone that was conducting a reconnaissance mission over the Black Sea have been nominated for decoration, the Defense Ministry announced on Friday.

Russian Defense Minister Sergey Shoigu “has put forward for state awards the pilots of the Su-27 aircraft who prevented the US MQ-9 unmanned aerial vehicle from violating” the restricted flight zone established by Moscow amid the Ukraine conflict, the ministry’s statement read.

It added that the borders of the area in question had been made known to all users of international airspace.

The ministry, however, did not provide any personal information about the pilots, nor did it reveal what awards they might receive.
Ni ishara ya woga, Mwanzo walikataa kata kata na kusema si wao walioangusha bali wao wenyewe US mambo yao sasa wanapeana nishani, ni vile wanapishana kauli za kutokujiamini waziri Kremlim amekataa russia kuhusika lakini Putin asema pilot wapewe zawadi inaonekana russia sio shwari wanagongana wao kwa wao.

Nakumbuka mara moja Jeshi la Russia wali retreat jimbo Kherson putin akakasirika, akataka waendelee kupigana ilhali hali ilikuwa mbaya kwao kuendelea walizidiwa sana, russia si salama sana
 
Hao ndio marubani haswa
Huku wataalamu wa mambo ya anga wanawajadili na kusema ilikuwa na hatari sana kitendo walichofanya

Ndege zao speed ni 1200 mile kwa saa na Reaper drone speed yake ni 482 km/h
Ila speed ya ndege zao.walipunguza sana walipokaribia hiyo Drone sasa kosa dogo tu lingefanyika na kugongana ilikuwa mbaya sana
Ila pilots hao ni balaa

Wababe hao wanazidi kuonesha uwezo wao
Kremlin mbona awali ilikataa kuhusika na kuiangusha lakini baadae US wakaja na mchoro unaothibitisha kugongwa hiyo drone lakini sasa putin anasema pilots wapewe zawadi, ni kwa vipi hizi kauli zinapishana hivi sasa putin na Kremlin kuna gape kubwa kiasi hichi? hawafahamiani mbona, kwanini wao kwa wao wanatofautiana au woga umetanda russia?
 
Unajifanya mjuaji kuliko warusi kumbe bure kabisa ,eti njia ya hatar nani kakuambia hiyo njia ya hatar au ulitaka watumie kombora hivi unajua thamani ya kombora moja la S400 wewe? . Njia hatar kwako wewe na uwezo wako mdogo wa kufikiri ila kwa warusi ni kawaida ndio maana wanafanya mazoezi mara kwa mara wana mbinu nyingi kwahiyo haina haja ya kupoteza pesa nyingi ikiwa kuna alternative way ambayo ya gharama nafuu pia ni ya kumdhalilisha adui juu ya technolojia yake .maana hapo hiyo drone ya thaman kwa sasa imeonekana duniani si chochote kumbe unaweza kuiangamiza hata kwa mafuta tu kwahiyo watu wataogopa kununua kwa miela mingi kama walivyoitangaza

Mkuu mimi nilijaribu kutoa maoni yangu tu sasa ya nini kuniita mjuaji??, mbona na wewe umetoa maoni yako kama mimi nilivyotoa je na wewe tukuiteje?? au wewe ni mwanajeshi wa Urusi??. Ulichotakiwa kufanya ni kutoa maoni pinzani tu na sio kuleta maneno ya kejeli kujifanya wewe ni mwanajeshi wa urusi.

Isitoshe mimi sijasema kwamba iliwapasa watumie kombora la S400 (air defence) kuiangusha hiyo drone, hayo ni mawazo yako na usitake kuyafanya yawe ni mawazo yangu, kumbuka lile balloon la China lilivyodondoshwa na Amerika, wao walili-bomb kwa kutumia fighter jet (Bomber) na Warusi wangeweza kutumia Bomber jet kuingusha hiyo drone na kuisambaratisha mazima lakini hawakufanya hivyo, kwanza waliigonga kwenye propeller na zikapinda [yaani rubani wa jet fighter iligongesha kwenye propeller za drone na panga moja la propeller likapinda, picha ya hilo tukio ipo kwenye youtube] lakini drone iliendelea kwenda ndipo wakatumia njia hiyo ya mafuta, sasa kitendo cha kuigonga ni kitendo cha hatari sana na ndio maana hao marubani watakabidhiwa NISHANI kwa ajili ya kazi hiyo ya hatari ambayo ilihatarisha maisha yao.

Kama nilivyosema hapo awali sio kwamba walishindwa kui bomb hiyo drone bali walitaka kuipata ikiwa intact ili kwenda kuichunguza kwa ajili ya (reverse engineering) nk.

Sasa kama mimi najifanya mjuaji basi na wewe unajifanya mjuaji zaidi labda uniambie wewe ni mwanajeshi mweusi wa Urusi hapo nitakua sina neno.
 
Back
Top Bottom