Marudio: Kumbukumbu ya Baba wa Taifa

Asante sana mzee wetu kwa kumbukizi hii
 
I hope wajukuu wetu watakumbuka pia kumuweka rais wa awamu ya 5 kama ba' mdogo wa taifa...anafaa!
Baba mdogo ni negative kidogo sana kwa Mwl. Labda kwa kuwa mfumo wa nchi ulichezewa. Kuurudisha mahala pake inahitaji ukichaa fulani hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…