OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tazameni kwa umakini goli la pili,linatia raha sana. Ni kama kuukung'uta mchuchu goli la kibabe kelele zake ziufikie mtaa wa tatu. Ukiwa unautoa nje anatembea kibabe....namna hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kitu pekee kinawapa faraja. Waache na wao wailazimiiishe furaha ingawa mioyooooo ina majonziiiii....Yaani Simba furaha yao ni kuijadili Yanga tu😂
wenzenu wanaweka Makombe kwny screen nyny mnakalia ujinga tu!Siku ile ya kagwaride kao, ilitakiwa ifungwe screen kubwa pale mtaa wa Msimbazi ili wakati wanapita waone slide ya Kibu Mkandaji ikijirudia rudia.
Angalia mwngn huyu eti Makolo😂😂
Rage njoo uchukue Maua yako hapaMboga mboga fc wakiona hizo nyasi hawali tena mboga...
Tazameni kwa umakini goli la pili,linatia raha sana. Ni kama kuukung'uta mchuchu goli la kibabe kelele zake ziufikie mtaa wa tatu. Ukiwa unautoa nje anatembea kibabe....namna hii
Na furaha ya Yanga ni kusikia KIBU MKANDAJI anapiga bao la pili.Yaani Simba furaha yao ni kuijadili Yanga tu[emoji23]
Ila Luc Eymael hana huruma kabisaaa!!! Katuita sisi Yanga manyani na bado pesa tunamlipa kwa kutuita manyani.Rage njoo uchukue Maua yako hapa
Luc njoo uchukue mnyama wako hapa...Rage njoo uchukue Maua yako hapa
Kuna watu watapita kimya kwenye hii post kama hawaioni
Tazameni kwa umakini goli la pili,linatia raha sana. Ni kama kuukung'uta mchuchu goli la kibabe kelele zake ziufikie mtaa wa tatu. Ukiwa unautoa nje anatembea kibabe....namna hii