Kwanini azam tv kila siku mnatuwekea matudio ya mechi ambazo simba alishinda tu kwanini hamuweki ambazo alishindwa ili kama ni kufanya masahihisho tujue wapi tumefail.
Hizi mechi za kmataifa ilitakiwa mchanganye na ambazo alifungwa 5-0 ili tuone wapi tunakwama sio kila siku magoal ya nkana na simba au js soura na simba mbona supersport wanarudia match mara nyingi tu why nyie?
Mbona hilo halihitaji kujiuliza!!
Boss wa Azam tv na ndie huyo huyo mwenye kadi ya Uachama pale Simba. Unategemea nini???
Nani anapenda aibu zake azijue kila mtu???