boy lanugo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 290
- 272
DMO hospital ya wilaya MASASI amepiga marufuku matumizi ya jina LA boss kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba wafanye hivyo...Mbona huu uzi umeweka kwenye jukwaa la utani, na hali sio utani ni barua kabisa ya ofisi!!!
Omba JamiiForums wauweke kwenye jukwaa angalau la habari mchanganyiko
Bora hata wangepiga marufuku kutumia neno "Mkuu"DMO hospital ya wilaya MASASI amepiga marufuku matumizi ya jina LA boss kaziniView attachment 895662