kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kufuatia tangazo la serikali kwamba sasa hivi ni marufuku kuwa na mikusanyiko isiyo ya lazima ili kuepuka kuenea kwa kirusi cha corona,nimepata swali kwa wataalamu hawa waliobobea;
Je, kirusi hiki huenea tu kwenye mikusanyiko isiyo ya lazima?
Au kwa namna nyingine,je kirusi kinaogopa mikusanyiko ya lazima?
Mikusanyiko isiyo ya lazima ni ipi?Je show za Nandy ni mikusanyiko ya lazima?
Mbio za mwenge je ni lazima?Mechi za soka mfano ndondo na mechi ya watani wa jadi?
Mimi na wenzangu wenye elimu ndogo,nisaidieni nijue hii mikusanyiko isiyo ya lazima ni ipi?