Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wengine tunaoga mtoni mkuu...hata ufukwe hatuujui....Hatuna maadili ya kuoga ufukweni mkuu.hata jeans siyo maadili yetu.
Si ndiyo hapo!apambane na marufuku yake haituhusu.Si wengine tunaoga mtoni mkuu...hata ufukwe hatuujui....
Awaambi haohao wanaume wa Dar..wanaooga ufukweni............Si ndiyo hapo!apambane na marufuku yake haituhusu.
na nyie wa mikoani ni marufuku kuvuta bangi mbele za watuAwaambi haohao wanaume wa Dar..wanaooga ufukweni............
Tehehe,tuvute mbele za watu hatujipendi!!na nyie wa mikoani ni marufuku kuvuta bangi mbele za watu
Si wa Mikoani tumezoea kumoka kitu bila kuchoma vitambaa Wala kuwasha udi ...mwambie mikonda ajenge yard ndo tuwe tunavutia humo tukija huko mjini ili usikerekena nyie wa mikoani ni marufuku kuvuta bangi mbele za watu
Itabidi wafanye hivyo maana sijui yeye na mkulu wanavutiaga wapi...Si wa Mikoani tumezoea kumoka kitu bila kuchoma vitambaa Wala kuwasha udi ...mwambie mikonda ajenge yard ndo tuwe tunavutia humo tukija huko mjini ili usikereke