Marufuku

Hatuna maadili ya kuoga ufukweni mkuu.hata jeans siyo maadili yetu.
 
na nyie wa mikoani ni marufuku kuvuta bangi mbele za watu
Si wa Mikoani tumezoea kumoka kitu bila kuchoma vitambaa Wala kuwasha udi ...mwambie mikonda ajenge yard ndo tuwe tunavutia humo tukija huko mjini ili usikereke
 
Si wa Mikoani tumezoea kumoka kitu bila kuchoma vitambaa Wala kuwasha udi ...mwambie mikonda ajenge yard ndo tuwe tunavutia humo tukija huko mjini ili usikereke
Itabidi wafanye hivyo maana sijui yeye na mkulu wanavutiaga wapi...
 
Sisi kwetu hata vichupi hatuvijui tunaoga uchiiiii,ukweli katazo hili halituhusu [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…