Marumo Gallants Yashuka Daraja!

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
19,484
Reaction score
38,416
Hatimaye timu ya Marumo Gallants aka Bahlabani ba Ntwa wameshuka daraja baada ya hapo jana kufungwa bao 2 kwa sifuri na timu ya Swallows katika ligi ya Premium ya Afrika ya Kusini

Itakumbukwa Malumo Gallants walitolewa na Yanga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la CAF barani Afrika.

 
Si ajabu. Makolo yamesha nusurika kushuka daraja Mara kibao miaka ile ya 80's, thanks kwa FAT now TFF kwa mbeleko wa chuma.
 
Kweli watu walipΓ ta utelezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijui wenzangu, mimi siumii. Ningeumia kama YANGA ingetolewa na Marumo wakiwa tayari wameshashuka daraja.
Ingekuwa ni udhalilishaji mkubwa.
 
Walijitakia wenyewe kushuka daraja. Maana waliwekeza nguvu kubwa kwenye mashindano ya Kimataifa, kuliko yale ya ndani.

Naamini fungu watakalopewa na CAF baada ya kufikia hatua ya nusu fainali, watalitumia kwenye kuimarisha timu yao, na hivyo kurejea kwa urahisi kwenye ligi kuu ya nchi yao, msimu ujao.
 
Kuna mtu alijiita hilo jina kama ID yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,nadhani atabadili ID 😭😭😭
 
Kuna watu walipiga bomu mochwari halafu wakashangilia sana
Wale hawana team ya maana, kilicho wabeba ni bahati ya kukuta shirikisho kuna team vibonde.

Hawana team bora ila wana morali, kuthibitisha hilo hata msimu unaokuja hautowaona hatua za mbali CAFCL, watakimbilia shirikisho kama kawaida.
 
Ukienda ugenini kushindana mashindano ambayo ww unaamini ni muhimu sana, Dalili ya kwanza kuwa mnacheza mashindano yasiyo muhimu au mashindano ni muhimu ila unacheza na timu dhaifu ni sapoti ya mashabiki uwanjani. Unless kuna katazo la kuingiza mashabiki.
 
Vipi kuhusu Singida leo?
 
Mbona Wydad haijashuka daraja? Sema tu ni timu mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…