Marumo kwa yanga ni kama rivers united

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Marumo kwa yanga atakuwa kama rivers united tu
Na kuna uwezekano yanga akawafunga nje ndani save sms yangu hii

Kumtoa pyramide Sio kigezo cha kuwaona bora
Pyramid na marumo wote wabovu tu

Timu kidogo ambayo ina uwezo wa kumpa yanga challenge kwenye mashindano haya ni asec Mimosa peke yake
 
USM Alger ana nafasi kubwa ya kubeba hili kombe.Ule mpira aliocheza na AS FAR ya Morocco si mchezo!!!!!!

Timu zinazojua kupress vizuri mara nyingi huisumbua Yanga. Mfano Hata Rivers, kwenye marudiano walitumia pressing na iliwasumbua Yanga.

Al Hilal, Simba,US Monastir hawa wote waliwafanyia Yanga pressing na kupata goli la mapema. Wapinzani wameanza kuwajua Yanga kuwa huanza mchezo kwa taratibu mno.

Yanga, ukiwafunga goli la mapema una nafasi kubwa ya kushinda mchezo kwani kuwadhibiti ni rahisi sana na ni kuwachezea compact football!!!!!!!!

Nb :Mpira upewe heshima yake!!!!!!!!!!

Ni mtazamo!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…