Marurupurupu wafanyakazi TANESCO yapoje?

Marurupurupu wafanyakazi TANESCO yapoje?

Pale wanaiba sana
Kuna mzee wa kinyamwez nlikua naona wanaishi maisha ya anasa sana. Mashirika ya umma wanajiandikia tu ma allowance na ma scale ya kulipana plus na udokozi wa watanzania basi ndo hvo wenzetu wanakamua asali kisawasawa.
Muasisi wa wizi nchi hii ni sisiemu
 
Wacha wale tu
 
Ukisoma hapa..unaweza kufikiria wafanyakazi wote wa Tanesco wako vizuri...
Kumbe siri wanayo wenyewe
Hakuna sector ambayo watu wote walioko huko watakuwa vizuri au vibaya hata hiyo sector iwe nzuri au mbaya vipi, hata hizo biashara zinazosifiwa kwa kutajirisha watu bado kuna wanaozifanya na hawatajiriki, hata huko halmashauri kunakodharaulika wapo watumishi wanaishi vizuri

Sema tofauti ni idadi tu ya hao ambao wako vizuri ukilinganisha na hao ambao wako vibaya, bado hauwezi linganisha economic status ya watumishi wengi wa Tanesco na ya watumishi wengi wa Halmashauri, lazima utakuta kuna sector moja ina afadhali kuliko nyingine

Hata hivyo kuingiza kipato ni jambo moja na namna unavyotumia hicho kipato ni jambo jingine, sasa watu wengi hujudge kipato cha mtu kwa kuangalia anavyotumia na siyo anavyoingiza, na hapo ndipo tunapofeli sisi ngozi nyeusi
 
Back
Top Bottom