Marurupurupu wafanyakazi TANESCO yapoje?

kwa kweli siwez mtaja watamjua ila alikuwa meneja kanda flan
Hata kuna jamaa alipandishwa kuwa meneja hata kabla hajaaanza cheo kipya akapata ajali akafariki kazini watu wanarogana sana yaani ukipandishwa cheo kabla hujaanza majukumu mapya kaaage kwanza kuna watu kuua ni dakika moja tu.
 
pole sana naye ilikuwa scanerial kama hio ila yenye utata mwingi kuanzia ofisini.
 
Ngoja waje kukupa muongozo kwa kukuomba number ya simu na location...
 
Nipamban kwa udi na ufumba kupata Kaz pale ila ukwlei pesa iko pale ukiwa mshapu
 
Hivi watu wanaoulizaga maswali ya hivi huwa mnakuwa mmepata kazi ndio mnauliza muende au msiende au lengo waga ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…