Unampenda Henry Cavil.? Binafsi hua simpendi japo sura yake ni very distinct n notable. Bora Ben Afleck, wala usijali wanaweza kumpa mkataba pia hivo hivo mbona Chriss Evans kacheza kama Human torch kwenye Fantastic 4 na kacheza as captain america in Marvel (fantastic 4 iliuzwa ilikua chini ya marvel) lakini pia Zazie Beetz kacheza kama Domino kwenye Deadpool 2 ambayo ni character kutoka marvel hafu pia Kacheza kama mpenzi wa Joker ambae ni character wa DC. Sio huyo tu Tom Hardy kacheza kama Bane kwenye Batman Dark knight rises character kutoka DC halafu kacheza pia kama Ediie Brock kwenye Venom Character kutoka Marvel.
Actor hafungwi na mkataba kucheza kwingine shida ni Character wa DC kwenda marvel haiwezekani..
Batman awepo avanger hell no.
Ghost rider,Xmen,Hulk,Spiderman, nk wote hawa waliuzwa miaka ya 90s maana walifilisika mno marvel. Marvel pubishers walikua hawana kitu kabisa hadi Kevin feige alipoingia kama CEO akashirikiana na Vitoria alonso,Louis de'sposito nk.
Ndio maana muvi zote za spider man zinatengenezwa na Sony tu. Sidhani kama marvel wanapata zaidi ya 10% ya mapato kutoka kwenye muvi ya Spiderman.
Ndio maana mwaka jana kulitokea ugomvi kati ya Sony na Disney..sony wakataka kumtoa spider MCU unajua alichofanya Disney??? Alimuonyesha Sony jeuri ya pesa akataka kununua kampuni nzima ya Sony!!! Ila baadae walielewana (hua nahisi ilikua kiki)
marvel anajithidi sana kurudisha character wake hasa XMen. Eg. Wanada maximanoff (scarlet witch) na Pietro wapo marvel halafu baba yao ni Magneto yupo XMen.