McWon_Calvin
Member
- Feb 17, 2022
- 19
- 43
na blu-ray wataachia aprilOoh mbona mbali hivyo? Nilitegemea mwishoni mwa mwezi huu!!
Nick fury ana taarifa?hivi The Avengers hawaoni Russia & Ukraine crisis au ndio haijafikia kuwa Avengers level threat[emoji28]
Nick fury ana taarifa?
na blu-ray wataachia april
Silver Sufer (jack kirby)ni favorite superhero wa ''STAN LEE'' ni moja ya character ambaye haja mcreate yeye,lakini ndio best superhero wake!!
Anyway!!kama hili iitafanyika Basi mi nitakua mzee wa cameo"stan lee",hahhaah hii itanifanya kua na uwanja mkubwa wa kuwaelezea characters wangu,,😂😂😂u can't beat the system!!
View attachment 2125632
Hahah sawa mzee excelsior!
sawsaw!!!brother
tena nikilitumia "excelsior" itakua wonderz kabisa
hivi The Avengers hawaoni Russia & Ukraine crisis au ndio haijafikia kuwa Avengers level threat[emoji28]
Nick fury ana taarifa?
Huwa anataarifa ya kila kitu
April 12
JarvisKuna katoto kamezaliwa juzi na mimi kama mjomba nimeambiwa nitafute Jina , mimi nimechagua majina haya
Tony
Clinton
Frozen....again😎[emoji28] captain kalala
Kuna katoto kamezaliwa juzi na mimi kama mjomba nimeambiwa nitafute Jina , mimi nimechagua majina haya
Tony
Clinton
Jarvis
Naona movie nyingi siku hizi zinatumia hii tech ya kuanimate vitu. CGI inazidi kuboreshwa na sio rahisi kunotice scene za namna hiyo.Da'Vinci ulielezea kuhusu iluminanti na naona kwenye tangazo la doctor strange majamaa wapo humo kwa msaada wa your double Canadian ameelezea vema ndio nazidi kuona wewe na mchizi mpo sawa kabisa yaaani salute sana mkuu.
Naona mule kuna Richard,frank, captain carter na yule jamaa wale steve aliyesepa ukimtoa Wang
By number wako 7.
MCU is the best yaaaani,yaaan movie serious alafu una i animated hapo hapo?View attachment 2134424
Wakati naandika history ya Illuminati nilitaka nielezee jinsi Members wake walivyomfukuza Hulk duniani halafu baadae akarudi duniani kulipiza kisasi kwa members wote kasoro Professor X maana yeye hakushiriki kwenye kumfukuza maana alikua kama mkimbizi huko ulaya mashariki ajili ya tukio la M Day. Nilitaka nielezee hasa nini kilitokea M Day kwa comics za X-Men ila sikufanya hivo. Now nashindwa maana itaonekana ninakopi watu wakati sio kweli... I'm too sensitive kwenye kuigilizia watu waliyoyaongeaDa'Vinci ulielezea kuhusu iluminanti na naona kwenye tangazo la doctor strange majamaa wapo humo kwa msaada wa your double Canadian ameelezea vema ndio nazidi kuona wewe na mchizi mpo sawa kabisa yaaani salute sana mkuu.
Naona mule kuna Richard,frank, captain carter na yule jamaa wale steve aliyesepa ukimtoa Wang
By number wako 7.
MCU is the best yaaaani,yaaan movie serious alafu una i animated hapo hapo?View attachment 2134424
No no no no brother umenielewa vibaya,yaaani wewe you are the best.Wakati naandika history ya Illuminati nilitaka nielezee jinsi Members wake walivyomfukuza Hulk duniani halafu baadae akarudi duniani kulipiza kisasi kwa members wote kasoro Professor X maana yeye hakushiriki kwenye kumfukuza maana alikua kama mkimbizi huko ulaya mashariki ajili ya tukio la M Day. Nilitaka nielezee hasa nini kilitokea M Day kwa comics za X-Men ila sikufanya hivo. Now nashindwa maana itaonekana ninakopi watu wakati sio kweli... I'm too sensitive kwenye kuigilizia watu waliyoyaongea
Ni character mmoja aliyetokea kwenye series mbili tofauti Agent Carter na Shield. Kumbuka zote hizi series zimetokea kwenye universe moja, ndio maana pia Peggy Carter pia alionekana huku agent of shieldNina swali kuhusu Agent Daniel Sousa alionekana kwenye Avengers kama NYPD officer during the Invasion akipewa Order na Captain, then kwenye series Agent carter na Agents of S.H.I.E.L.D kama agent ambae alichukuliwa kutoka past na kina Daisy akarud present.
Swali ni kwamba inawezekana kuwa ni character moja? au Marvel wamecast mtu mmoja kwenye character mbili tofauti?
View attachment 2135168
Ngoja nikamuangalie kwanza huyu Canadian then nitakurudia tenaNo no no no brother umenielewa vibaya,yaaani wewe you are the best.
Umenambia kitu ambacho mtu niliekua naona ananipa vitu vipya amekuja sema baadae.
Sasa ndugu yangu CanadianLad una mgeza wapi Leonardo?
Mimi naheshimu unacho kifanya humu,sijawahi pata mahali pengine hapa tz.
Sorry kama umenielewa tofauti.
Umechelewa sana kumfahamu huyu jamaa. Mimi nina miaka minne kwenye channel yake. Yuko vizuri sanaNgoja nikamuangalie kwanza huyu Canadian then nitakurudia tena