Marvel Cinematic Universe special thread

Guardian of the Galaxy vol 3 (2023) teaser trailer 1 imetoka.

Soundtracks zake sasa[emoji91] aisee hakuna mfululizo wa MCU wenye soundtracks kali kama hawa Guardians

Wakiweka King Harvest- Dancing in the Moonlight naenda US [emoji23]
 
Soundtracks zake sasa[emoji91] aisee hakuna mfululizo wa MCU wenye soundtracks kali kama hawa Guardians

Wakiweka King Harvest- Dancing in the Moonlight naenda US [emoji23]
😂😂😂 mcu wanaelewa nini wafuasi wao wanapenda
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mcu wanaelewa nini wafuasi wao wanapenda

Kabisa, wanasikiliza matakwa ya mashabiki wao sio kama Apple wanafunga hadi comment section wana series nzuri though
 
Ndg zangu hivi nan humu ataenda kuangalia Theatre “Multiverse of Madness” siku ya premier?
 
Hivi hizi teaser nyie mnapata notification au ni mimo tu?
Maana naona mcu wameamua khaaaaa.
Mcu wanafanya kaz ambazo mtu atakae kuja kuwashinda that person must be very very absolutely without a doubt genius (i miss the British guy from SHIELD series)
 
British guy yupi Fitz au?
 
Hata mvua inyeshe lazima niende kikubwa uzima tu ndg zangu, May 5 hiyo Pre-view najua itakuepo tu tena 3D damn.. Sam raimi ana uwezo wake wa kuweka Graphics tamu sana

Hata mvua inyeshe lazima niende kikubwa uzima tu ndg zangu, May 5 hiyo Pre-view najua itakuepo tu tena 3D damn.. Sam raimi ana uwezo wake wa kuweka Graphics tamu sana

View attachment 2186447
Aaa bwana Graphics anahusikaje sam raimi tena. Labda ungesema directory vison yake tu ndio imepelekea hivyo.
Btw I'm so super excited to see it.

Ila nina wasiwasi haitafanya vyema kwenye mauzo. Nahisi tu hivyo
 
Usijali ndg yetu utaipata ya Digital platforms japo kwa kuchelewa, ntaenda sababu siwez kuepuka spoilers najua ntazikuta YouTube tu
Huko kuchelewa ndio sitaki ila ngoja nione kama nitaweza kuitazama, maana I'll be kinda occupied
 
Aaa bwana Graphics anahusikaje sam raimi tena. Labda ungesema directory vison yake tu ndio imepelekea hivyo.
Btw I'm so super excited to see it.

Ila nina wasiwasi haitafanya vyema kwenye mauzo. Nahisi tu hivyo

right, yeye huwa anajua sana Horror uko sahihi, hivi nan alikuwa anafanya graphics ya zile spiderman za 2000s nlkuwa napenda sana rangi zake

Mm niko disappointed ni masaa mawili naona mambo mengi sana masaa mawili hayatosh wangeweka matatu
 
Kwenye mauzo huo mzigo utakimbiza sana, DS ni moja ya character wanaopendwa sana trailer yake tuu ilipata views nying ndani ya siku moja hiyo inakupa picha ni namna gani watu wanausubil huu mzigo
 
right, yeye huwa anajua sana Horror uko sahihi, hivi nan alikuwa anafanya graphics ya zile spiderman za 2000s nlkuwa napenda sana rangi zake

Mm niko disappointed ni masaa mawili naona mambo mengi sana masaa mawili hayatosh wangeweka matatu
Ngoja nisijibu sana nikaja expose haka kaID. Siku moja nitakujibu btw nami I'm disappointed kuona ipo 2 hrs tu halafu mambo mengi. Ila ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…