aah hata mm ntaenda hapo hapo aisee, tutakuwa wote japo hatujuani
Napenda aura seat zake ni nzuri na pia screen iko curved ni pazuri kuliko Mcity, maon yangu lakin
Mwanamke anayeangalia hizi muvi hasa DS na kuzielewa. Usimchukulie poa lazima kichwani uwe zimeenea 1004%I will,
Aura Mall
Mwanamke anayeangalia hizi muvi hasa DS na kuzielewa. Usimchukulie poa lazima kichwani uwe zimeenea 1004%
Jamani Ningependa tukajikusanya wote tukaenda kutazama pamoja as marvel fans. Itapendeza tufurahi pamoja as get together na kupeana connection/michongo.
Kama mpo interested
I wish nipate girl fan wa MCU itakua poa sana, Sijui nampataje au nijisogeze hapo kwa Dream Queen 🙃🙃Couldn’t agree more, na iwe hivyo tuwe wote pale
crush wangu sabab kubwa ya kumpenda alikuwa MCU fan( she was great) hiko ndio kigezo cha kwanza, vingine vikafuataga bahat mbaya kasafir mbali
PS hilo wazo la get together ni one of the best, halafu huyu [mention]Stephen Strange [/mention] “i feel like I know you” in Valkyrie vibe
Aura Mall ndio chaka langu pendwa kwanza ni karibu na kwangu (naishi Kigamboni)aah hata mm ntaenda hapo hapo aisee, tutakuwa wote japo hatujuani
Napenda aura seat zake ni nzuri na pia screen iko curved ni pazuri kuliko Mcity, maon yangu lakin
Hapo sasa ndio unafeli, Dream Queen sio girl wa kujisogeza kwake, ni Mke pia ni Mama wa Watoto watatu.I wish nipate girl fan wa MCU itakua poa sana, Sijui nampataje au nijisogeze hapo kwa Dream Queen [emoji854][emoji854]
Yaani tukiwa pamoja sinema exploring and experiencing together the vast multiverse will be great.
"I feel like I know you too, It's weird"
View attachment 2189162
Daah basi kweli nimeshafeli hapo.Hapo sasa ndio unafeli, Dream Queen sio girl wa kujisogeza kwake, ni Mke pia ni Mama wa Watoto watatu.
Daah basi kweli nimeshafeli hapo.
But we can bunk together as MCU fans. You'll be Christine Palmer and me Stephen.
Aura Mall ndio chaka langu pendwa kwanza ni karibu na kwangu (naishi Kigamboni)
Pametulia hakuna population sana, screen yake iko curved kweli, wahudumu wapo friendly also na bei zake zimepoa,
Mcity, population sana, movie ya wakubwa watu wanaingia hadi na watoto wadogo hakuna angalizo,
Kwa kua watu ni wengi basi unakuta wengine wanaongea ongea wanahamisha concentration, uchokozi hii ilinikuta nilienda kuangalia unchanted natoa simu nijibu text mtu nyuma yangu kanivuta "excuse me, mwanga wa simu unaniumiza" i was like "WTH!"
Wakati Aura unaweza hata kurecord baadhi ya vipande ili uweke status uwahamasishe wasioenda
waende [emoji23]
Mcity bei zao zimechangamka.
Vipi imeshatoka rasmi?Hivi hii Movie “Uncharted” ni nzuri au ndio adaptations siku zote zinashindwa kufikia audience expectations
Vipi imeshatoka rasmi?
Nimecheka hapo kwenye "leo kitaeleweka"Hahah eti Mwanga wa simu, sasa kuna siku nlkuwa naangalia ilikuwa MK ile kukawa na jamaa kaja kama date na mpenz wake, ile movie alikuwa anairuidia unajua alikuwa anatoa spoilers kwa yule mpenz wake kwa sauti had mm naskia akawa anaua vibe ya kila kitu, crowd ya mcity ni changamoto
Ni kweli Aura hamna population angalau siku za blockbusters ndio utakuta watu sema ratio ya blacks & brown people inakuwa 1:1
Nakumbuka kuna siku napanda elevator nawahi nmechelewa naona black peke angu kati ya watu kama watano, naenda kwenye folen kuscan ticket still black mimi nkasema leo kinaeleweka [emoji23]
Ushaingia VIP yao?? Shida ya Aura AC kali jamani hadi unaisi kuganda sijui ndio wanawakomesha wapenda kusinzia [emoji23]