Inasomeka "Malvo" mzee.Wakuu hivi "Marvel" inasomekaje ni maavel au maavo?
Unajiita Marc Spector halafu unaishi Gotham City, Things like this is what give me trust issuesInasomeka "Malvo" mzee.
Let us keep it a Rumour cause I don't want to expect anything.Rumor has it View attachment 2201663
Yeah mkuu funny you should say that ila kama bahati leo nimechange location nipo Egypt, ila inategemea na personality.Unajiita Marc Spector halafu unaishi Gotham City, Things like this is what give me trust issues
Naona uzi umepoa watu mpo Kimya.
Anyway, Binafsi ninatheory yangu hapa nataka niwashirikishe kuhusu character ya Moon Knight kabla ijumaa ya may 6 haijafika.
Ghost rider akishirikiana na Danny Rand waliunda kundi linaitwa Midnight Sons Kazi yake ilikua kupambana na viumbe vya ajabu/demons kutoka kuzimu na other dimensions. Kama kawaida Sorcerer supreme inatakiwa ajue kila kinachoendelea duniani na hasa ikiwa itahusu mystical beings, Dark arts na Demons basi lazima atahusika. So Doctor strange nae alikua member wa kundi hili for overseeing its operation towards underworld threats.
Marc Spector kama tulivyoona kwenye series na kwa wasoma comics nae anadeal kupambana na viumbe vya ajabu though kuna muda anapabana na wahalifu as mercenary(?) Kama punisher. Hivyo basi nae alijiunga kweye hili kundi.
So....
Mwanzo MOM ilikua scheduled kuonyeshwa mwezi March ila wakasogeza mbele to May maana kulikua kuna Reshoot zilikua zinafanyika mwezi nov na Dec. This means that kuna scene na character wameongezwa humo.
Mind you mapaka sasa tupo Ep5 ila hatujaona reference yoyote ya MCU neither Character cameo nor Quote from /mention any mcu characters in a series.
Theory yangu ipo hapa...
Moonknight series inaisha 2 days kabla ya MOM kua released na kumbuka Doctor strange na Moonknight wapo kundi moja la Midnight Sons. Ninavyohisi mimi katika series hii ya final episode kutakua na Cameo ya Doctor au Wong. Na kama sio hivyo basi kwenye MoM kutakua na Cameo ya Moonknight. Its not a coincidence Series kuisha siku chache kabla ya muvi kutolewa na ukizingatia wote wanaCross path kwa kundi la Midnight Sons.
Ngoja tuone, ngoja tuone. Mungu atujalie uzima tufike ijumaa ijayo.
Halafu kama Ghost Rider atakuja MCU no ningependa character ya Robin Rayes iliyochezwa na Gabriel Luna kwenye series ya Aget of shield ndio irudishwe
Let us keep it a Rumour cause I don't want to expect anything.
Funny thing ni kua hii series haijaigiziwa Egypt imeigiziwa Jordan,Atlanta na mji mmoja nimeusahau Director wa hii series Mohammed Diab anasema season 2 ndio itashutkwa Egypt Hata Originality ya Marc Spector sio Egypt ni NY. Kwenye comics Marc Spector as mercenary alikua kwenye mission yake huko Egypt akala kipigo hasa wakati anataka kufa ndio Konshou akamtokea kwenye ndoto(?) Na kumfufua ila sherti atakua Avatar yake duniani.Yeah mkuu funny you should say that ila kama bahati leo nimechange location nipo Egypt, ila inategemea na personality.
MoonKnight ep 5 bado sijaiona ila kesho nikipata muda nitaicheck nione inaendeleaje baada ya marc kufa.
You know I'm something of Super Marvel fan myself 😉😉Bytheway mkuu nina mashaka utakuwa fan wa crime shows wale wazee wa FBI kuunganisha dots, hii theory inamake sense pakubwa let's wait may 6.
I'm a marvel fan in MCU lakini kwenye comic books bado kabisa.Funny thing ni kua hii series haijaigiziwa Egypt imeigiziwa Jordan,Atlanta na mji mmoja nimeusahau Director wa hii series Mohammed Diab anasema season 2 ndio itashutkwa Egypt Hata Originality ya Marc Spector sio Egypt ni NY. Kwenye comics Marc Spector as mercenary alikua kwenye mission yake huko Egypt akala kipigo hasa wakati anataka kufa ndio Konshou akamtokea kwenye ndoto(?) Na kumfufua ila sherti atakua Avatar yake duniani.
Anyway just me slipping out.
You know I'm something of Super Marvel fan myself 😉😉
Tunaweza kukesha hapa nikipata watu wanaoelewa MCU na Marvel Comics in details.
Out of Topic...
Kwenye comics Thor aliletwa duniani kama mwanadamu wa kawaida na Odin kujifunza maswala ya wanadamu akawa daktari, Alijiita Dr. Donald Blake nesi wake alikua Jane Foster ndio wakaanza kupendana. Kuna mambo yalitokea siwezi kueleza yote but thor alirudi Asgard Jane akaolewa na jamaa anitwa Keith Kincaid wakazaa mtoto ila Baadae waliachana, Siku moja walipata ajali mume na mtoto wakafa jane akiwa hospital ndipo akagundilika ana kansa ya matiti.
Huko Asgard odin aliitisha kikaa na wawakilishi kutoka seven realms zote Thor akampeleka Jane kama mwakilishi. Jane akiwa huko kulitokea vurugu Thor akaita Nyundo yake ikawa haiji akatokea mwanamke ameishikilia nyundo yake na ana nguvu na mavazi kama yake. Yupe mwanamke akaenda duniani ikibidi kitumwe kikosi cha kumfuatilia huyo mwanamke...Ndio Thor akagundua kwamba yule ni Jane Foster.
Kumbuka Kwamba Odin anasema Yoyote atakayeweza kubeba nyundo ya thor basi ataweza kua na guvu kama za Mighty Thor ndio maana kwenye muvi Captain America alikua anaweza kupiga radi kama Thor.
Kama mmetazama Trailer ya Thor love and thunder Thor alikua anashangaa yule aliyejitokeza (jane) kashika nyundo yake ni nani?? Maybe inawezekana alikua anashangaa amewezaje kuibeba.
Ishu iko hapa....
Kwenye comics Jane aliibeba nyundo akiwa anaumwa Kansa ya matiti na anaendelea matibabu ya Chemotherapy hivyo basi kila akiibeba nyundo ile nyundo inaondoa sumu zilizopo kwenye mwili wake ambazo zinaweze kumsababibishia magonjwa. Sasa kumbukeni Chemotherapy ni dawa/sumu kali sana mwilini ndio maana watu hunyonyoka nywele so nyundo huondoa pia hizo sumu zinazosababishwa na Chemotherapy hii inapelekea Jane kuzidi kuumwa Kansa na anazidi kuisha nguvu. So sooon or later Jane atakufa kama ataendelea kubeba nyundo ya Thor
Sorry for spoilers, What happened in Comics must stay in Comics
Yeah mkuu funny you should say that ila kama bahati leo nimechange location nipo Egypt, ila inategemea na personality.
MoonKnight ep 5 bado sijaiona ila kesho nikipata muda nitaicheck nione inaendeleaje baada ya marc kufa.
Bytheway mkuu nina mashaka utakuwa fan wa crime shows wale wazee wa FBI kuunganisha dots, hii theory inamake sense pakubwa let's wait may 6.
Bado siku sita mzee.Nishapata spoiler: Kuhusu Marc imetosha
Niko episode 2 nimesema ngoja niiache mpaka iishe yote ili ni i bing watch maana sina mda kwa sasa na kama itaunganishwa na MoM dah! ntakuwa nimefanyiwa ukatili wa kupata full package ya excitement
Sema May 5 hata mvua ikinyesha lazima nifike pale cinema kikubwa uhai, maana najua itakuwa na preview kama ilivyokuwa nayo No way Home
Bado siku sita mzee.
Sema kwa wale wazee wa PC itabidi tusubiri mpaka tarehe 20 hivi.
Kiasi chake najitahidi kufuatilia nina low latent inhibition so pindi ninapofanya kitu au kuona kitu nakifanya with perfection nina note details ndogo na kubwa. My first entertainment ni Marvel Studios/Comics then Music so I have tone and grasp anything concerning MCU as long as I can access itI'm a marvel fan in MCU lakini kwenye comic books bado kabisa.
Bro sense you're super marvel fan,
Baada ya Sylvie kumuua who he reamain alisababisha Kuharibika kwa timeline ambayoTVA hawawezi kuirekebisha tena (Nexus event). Kwenye series haikunyesa nini kimetokea hasa tuliona tu Sanamu za time keepers zimebadirika na kua Kang halafu Morbius hawamtambui Loki.what you're theory kuhusu mwisho wa loki series?
Pale loki amerudi TVA lakini mobius hamtambui, unadhani nini kimetokea pale?
Wengine hawapendi kelele. Uko zako pale kwenye big screen then kitu kidogo tu utasikia mtu anapiga mayowe😄😄😂 inakata stimu sana😃Hivi nauliza kwanini watu wengi wanapenda kuangalia Movie kwenye pc hasa hizi blockbuster baada ya kwenda cinema?
achana na sababu ya uchumi na kukaa sehem ambayo haina cinema, kuna wengine wanavyo hivyo vyote na still bado hawaendi!
Haya mambo ingekuwa ni kama masomo class... Bro ungetukimbiza kinoma. Nashukuru haiko hivyo😂Kiasi chake najitahidi kufuatilia nina low latent inhibition so pindi ninapofanya kitu au kuona kitu nakifanya with perfection nina note details ndogo na kubwa. My first entertainment ni Marvel Studios/Comics then Music so I have tone and grasp anything concerning MCU as long as I can access it
Baada ya Sylvie kumuua who he reamain alisababisha Kuharibika kwa timeline ambayoTVA hawawezi kuirekebisha tena (Nexus event). Kwenye series haikunyesa nini kimetokea hasa tuliona tu Sanamu za time keepers zimebadirika na kua Kang halafu Morbius hawamtambui Loki.
Mind you Loki ipo out of time Since tva is timeless yanayofanyika kule ndio yanaweza kuleta madhara kwenye actual timeline za multiverse mbalimbali. Tukio la sylvie kumua kang likasabisha Nexus event ndio linapelekea matatizo ambayo Sorcerer Supreme kupambana nayo. Lakini pia bado Sorcerer Supreme lazima apambane na mambo yaliyosababishwa na Spell aliyofanya kwenye No way home.
So kwenye MoM tutaona kwanini Morbius hakumtambua Loki, pia mwakani kama sijakosea Itatoka s2 ya loki nadhani itakua baada ya muvi ya Ant man 3 kutoka maana nayo itakua tied in na tukio la loki S1 (my theory) tutaona hasa effect ya Sylvie kumuua Who he remain.
Kwa kweli niseme sina theory juu ya hili ngoja tuone ijumaa itakuaje.
I'm sooooooo super excited aiseee..
Nahisi hawapendi michangamano na socialization na tabu zake bali wanapenda tu solitude na ile hali ya kuwa na ukimya, kuna wengine wanakuwa na hometheater yaani anakuwa na chumba chake nyumbani kwake ameweka screen kubwa na viti hata nane hivi na sound system safi then anakaa peke yake anaenjoy movie au na mkewe na watoto full amani.Hivi nauliza kwanini watu wengi wanapenda kuangalia Movie kwenye pc hasa hizi blockbuster baada ya kwenda cinema?
achana na sababu ya uchumi na kukaa sehem ambayo haina cinema, kuna wengine wanavyo hivyo vyote na still bado hawaendi!
Sahau kuhusu hilo, Scarlett Johansson alituharibia baada ya kuwashtaki disney kwa kutoa muvi yake in theaters na Disney+ so kama unataa clean version subiri after 2-3 months.Bado siku sita mzee.
Sema kwa wale wazee wa PC itabidi tusubirimpaka tarehe 20hivi.
Sababu ni...Hivi nauliza kwanini watu wengi wanapenda kuangalia Movie kwenye pc hasa hizi blockbuster baada ya kwenda cinema?
achana na sababu ya uchumi na kukaa sehem ambayo haina cinema, kuna wengine wanavyo hivyo vyote na still bado hawaendi!
Basi yule mrembo amezingua big time ila haina noma nitactivate spoiler shield protection system.Sahau kuhusu hilo, Scarlett Johansson alituharibia baada ya kuwashtaki disney kwa kutoa muvi yake in theaters na Disney+ so kama unataa clean version subiri after 2-3 months.
Sababu ni...
- Ubahiri wanaona 10-20K ni kubwa sana wakati aaweza kuipakua tu torrent after sometime.
- Kua shabiki jina tu.
Mimi muvi inayonipeleka Cinema ni lazima iwe Marvel based.
Na kazingua kweli but yote kwa yote kasababisha tupate Moment tamu ya "Multiverse" Mwaka 2024 tunaanza phase 5 hope Will be something new sio multiverse tena., Natuamaini tutafocus zaidi kwenye cosmic entity mbalimbali across Marvel Universe si unaona wameanza kuonekana kwenye EternalsBasi yule mrembo amezingua big time ila haina noma nitactivate spoiler shield protection system.
Then you'll find my Will is Equal to yours😎😎The hardest choices require the strongest wills kama No way home tu.
Clint kwenda kuishi kule ilikua kiusalama zaidi maana ninyeye tu ndio katinya Avangers alikua na familia. Tena Fury ndio alimjengea kule mbali kabisa hata members wenzake hawajui labda Shield members wenye level 8-11 kama Maria hill na Fury ndio wanajuaMfano ona maeneo aliyokwenda kuishi Clint Barton na familia yake.
Yaani kuhusu MCU na Game of Thrones Nadhani ningekua kipanga wenu humu asee😎😎Haya mambo ingekuwa ni kama masomo class... Bro ungetukimbiza kinoma. Nashukuru haiko hivyo😂
3. Cinema houses ziko mikoa michache sana Tanzania.Sahau kuhusu hilo, Scarlett Johansson alituharibia baada ya kuwashtaki disney kwa kutoa muvi yake in theaters na Disney+ so kama unataa clean version subiri after 2-3 months.
Sababu ni...
- Ubahiri wanaona 10-20K ni kubwa sana wakati aaweza kuipakua tu torrent after sometime.
- Kua shabiki jina tu.
Mimi muvi inayonipeleka Cinema ni lazima iwe Marvel based.
Mtumie Kevin fergie ujembe, twitter kule, anaweza kukuchukua, jaribu.Basi tu kuna muda natamani niwe mfanyakazi hata kufagia Marvel Studios maana ninajua vingi kuwahusu halafu sima faidia navyo.