Marvel Cinematic Universe special thread

Wow!
Shukrani sana kwa kweli nimeelewa sasa nitazidi kuifatilia Moon Knight kwa karibu zaidi kama ninavyoifatilia Halo.
 
Shukrani sana yaan nimeelewa hadi nimeelewa tena,
Sasa Konshu kapata swahiba mwingine je yule nae katengenezwa na nani au ndio tusubiri episode ijayo.
 
Shukrani sana yaan nimeelewa hadi nimeelewa tena,
Sasa Konshu kapata swahiba mwingine je yule nae katengenezwa na nani au ndio tusubiri episode ijayo.
Jack lockley ..personality ya Marc nyengine ambayo yeye haijui kama anayo ndio maana khonshu pale mwishoni alisema Marc hajui hana idea kama yeye ni troubled guy

Kuna clip Marc Ana kuwa block out anajikuta kasababisha mauji bila ya yeye kufanya hivyo na Steve akijua ni Marc kafanya hivyo mfano episode ya 4

Na episode ya 6 pale alivyomdhibiti harrow both Marc na Steve hawajui kinachoendelea

Inasemekana jamaa ni ruthless ,sadist hatari that's why Marc na Steve walivyokataa kumuua harrow khonshu akamua amtumie

Kwakuwa ile ndio season ya mwisho labda tutamuona kwenye future films in marvel Kama ata act kama cameo au Kama wata develop filamu yake
 
N

Ndio maana nimekataa kutumia YouTube hii week hata nikikuta final trailer siangaliii maana hizo final trailers haziishi.

Movie ikiwa mbaya Marvel watakuwa wamenivunja moyo degree ya kuvunjwa moyo kimapenzi
Ni nzuri wala hautakuwa disappointed
 
Wait, whaaaaat!
Season one ndio imeisha kwa episodes 6 [emoji15]
 
Nimemaliza leo kuiangalia moon knight. Nina shauku ya kumjua 3rd personality ya Marc na Steven with (v) ni nani jina lake. Ila anaonekana ni katili kuliko Marc. Shout-out kwa steve ameimprove sana kwa upande wa mapigano👏👏
 
Kwanza kabisa Series hii imeenda kinyume na Comics hasa kwa Identity za Marc,Steve na Jack.
Steve ni Billionaire kweye vomics
Jack Lockley ni Dereva Tax tena ndio wa hovyo kabisa hana nguvu bora hata Steve

Ila Marc Spector ndio original Moonknightvery brutal and menace kama Punisher. Kwenye series wamebadirisha tu kumfanya powerful kuliko Marc. Btw kama ulivyouliza Dream Queen in real life mtu mwenye DID hawezi kua na miili miwili tofauti halafu both Marc, Jack na Steve wanaishi NY hakuna iashie British hiyo wamefanya kwa filamu tu.

Season tu kuna Uwezekano haitakuwepo ila kuna muvi yake itakuwepo nadhani kuna project inaitwa Hollowen special inaandaliwa itatoka kipindi cha halloween inahusu baadhi ya character kutoka Comics alizotokea Moonknight (Werewolf bynight) nadhani ikitoka hii ndio tutajua kama Nini kitendelea kuhusu series ya Moonknight. Ila Uwezekano mkubwa upo kwenye Muvi sio S2

Wait, whaaaaat!
Season one ndio imeisha kwa episodes 6 [emoji15]

Nimemaliza leo kuiangalia moon knight. Nina shauku ya kumjua 3rd personality ya Marc na Steven with (v) ni nani jina lake. Ila anaonekana ni katili kuliko Marc. Shout-out kwa steve ameimprove sana kwa upande wa mapigano👏👏
 
Nna list kubwa hiyo ngoja nmalizie hii CPA katikati ya mwezi huu nirud kuangalia hizo zote maana hata posts zenu za Moon-knight sizisomi, bado nko episode ya nyuma sana...sema nitabing watch yote fasta sana
 
My Marvelous Collection.😍😍
It's the only thing that makes me hope and gives me a will to live.
Life is meaningless without Marvel Studios and my mom& sisters

 
Jana niangalia hii doctor strange in the multiverse of madness' sio kali sana labda 7/10. Kifo cha scarlet witch, sema nimekua surprised doctor strange ametokewa na jicho lingine sasa ivi ana macho matatu usoni hawa watu watakuja kutuua
Spoiler Alert 🚨
 
Da'Vinci mkuu naomba nieleze kidogo kwanza me nilikuwa mtu ambaye sifatilii sana movie za super hero sanasana Sasa kuna kitu kinanitatza hiv ilikuwaje Capt America akaweza kuitumia nyundo ya Thor kwenye Avengers endgame wakati ukiangalia hata Hulk ilimshindwa je kuna mechanism gani apo?
 

Ishu sio nguvu, ishu ilikuwa worthiness, pure of heart.

Nyundo haikutaka uwe na makandokando.
Unakumbuka kwenye age of Ultron Cap alishindwa kuinyanyua japo ilimove kidogo sana, alikuwa na siri aliyomficha Tony kuhusu kifo cha baba yake, baada ya pale Cap akawa clean.

Hata Thor mwenyewe kuna kipindi alishindwa kuinyanyua baada ya kwenda kinyume na Baba yake, he was arrogant, ndipo Baba yake aka enchant nyundo yenyewe.


Ni sawa na kusema ukifanikiwa kufata amri zote za Mungu unakwenda direct peponi.

The inscription on Mjolnir reads “Whosoever holds this hammer, if they be worthy, shall possess the power of Thor.” It doesn't matter how strong you are, if you aren't worthy, you can't lift Thor's hammer, no matter how hard you try.

I stand to be corrected.
 

...Whosoever holds this hammer, if he be worthy, shall possess the power of Thor

Odin alisema hivyo kwahiyo Rogers alikuwa worthy ndio maana, uliona aliweza kuisogeza kidg kwenye Age of Ultron
 
niliondoka almost week nkategemea humu ntakuta habari kibao ila hakuna mengi yaliyojiri
 
Jorge WIP MrConveter shukran sana wakuu but pia naona kama Capt America ndo kama vile kiongozi kwenye Avengers au nipo wrong?

Tony alimpiga ndogo cap akawa anasema

“actually he's the boss, I just pay for everything and design everything, make everyone look cooler”

Kwahiyo yeah upo sahihi, halafu pia yeye ndio kikongwe kwahiyo ana hekima... thor ni brat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…