Marvel Cinematic Universe special thread

Kwa yoyote mwenye swali kutoka kwenye trailer ya Black Panther aulize hapa. I'll happily comply it.
Namor, Riri, Secret invasion....
View attachment 2304581
Walisha sema the next black panther?
Kill monger hawawez mrudisha maana alikua unless wafanye nn sijui?
Au wameplay along kuwa amekufa kwenye movie pia?
I love the suit so far nano tech inazidi kuwa bomba machoni kwangu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Namor atakuwa mtawala wa "Talocan" badala ya Atlantis kwenye MCU. ~ MARVEL


#BlackPantherWakandaForever
 
Daah mimi kama top fan wa Marvel na DC kwa pamoja.....hawa DC wananivunja moyo sana.
 
Fact about tree (GROOT): According to research, while trees may not sleep in the same way animals do, they do relax their branches during nighttime, which suggests that yes, trees have activity-rest cycles. These cycles can also vary depending on the tree species.
 
Marvel imeripotiwa kutumia nguvu juu ya kampuni za VFX kwa kuwajazia projects nyingi ndani ya muda mchache.

"Wanalipa kidogo na kufanyisha kazi kupita kiasi, hawajui wanachotaka, wanadai masahihisho yasiyoisha kwenye dakika za mwisho."
 
Origin ya She-Hulk itakuwa tofauti kidogo na kwenye comic

Inaonekana kama Jennifer & Bruce walipata ajali ya gari na jenny akajikuta kidonda cha ajali kimekuwa exposed na damu ya bruce ndiyo chanzo cha mabadiliko yake ya mwanzo.

>Itakuwa ni ajabu sana kama kila mtu ambaye angeweza kupata hata sampo ya damu ya bruce angeweza kuwa hulk. Ila Jenny na Bruce ni ndugu hivyo kwa namna moja ama nyingine DNA's zao zinaendana kidogo.
 
PETER 1: I was in the Avengers.

PETER 2: The Avengers? That's great! What is that?

PETER 3: Is that a band?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…