Marvel Cinematic Universe special thread

Zack katimuliwa , pia the flash wanasema itakua reset ya DCEU wnaanza upya kubuild ndo maana pamoja na kuwa Ezra ana kesi nyingi bado itakuwa realesed io muvi
Zack bado yupo ila bado hajui hatia yake. Pia ukiangalia cast wake wote wanarudi akiwemo Ben Affleck labda na henry ingawa kuna kigugumizi kwa huyu jamaa. Ray fisher....?
 
Nami pia nimeipenda naona wazee baba wamefuta comment yangu ile ya she hulk hapa. Napenda how Jen anavyovunja ukuta wa nne, amenifanya nitamani kuirudia series ya House of Cards
Unajua kuna ile episode anabreak fourth wall anasema β€œI know you can’t wait to see Wong...” πŸ˜‚ nilikuwa ofisi ya watu ambayo iko kimyaa...ndg yangu si nikacheka kwa nguvu

Asee Kila mtu akaniangalia nkaona wako na wtf look on their faces
 
Jana nimecheck Thor love and thunder sina cha kusema zaidi ya I'm disappointed.
Wametumia nguvu nyingi kuifanya kama Ragnarok lakini wamefeli vibaya.
Ni aibu. Nakumbuka imetoka tu umbea wangu 3D cinema. Nikawa tu nacheka wanavyocheka wengine.

Thor kali ilikuaga ya Kwanza tu. Zingine too much comedy.
 
Badass.. Thor hawezi bila Roki.. πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Yes naona wangeendelea kuwaweka pamoja na ile dynamic duo yao

Hella anakwambia β€œit comes to my attention you don’t know who I am πŸ˜‚β€ ile movie ilitengeneza memes kibao lakini sio hii L & T
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…