juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,924
- 5,406
Raha ya Top Gun uanzie ya kwanza ya 1986 alafu ndio uje ucheki hii ya mwaka huu.Top gun ina nini cha kuishinda Grayman?
Top gun ni nzuri kama ulianza kuicheki ya kwanza, kama umeichekk hii ya 2 utaona ni movie ambayo haielewekiTop gun kwao imeongeza idadi ya military recruits kwao imeonekana ni real deal
Hamna jipya kwenye movie ya gray labda wewe umeona mibunduki mingi ndo unasema nzur top gun ni moto na best movie kwa 2022Top gun ina nini cha kuishinda Grayman?
Okay nerd 🤓Grayman na top gun, kwa mimi zote zipo pouwa.
Grayman ina ile vine ya usiri sana, mystery, u-mission impossible flani hivi. Ile Sierra program zima naweza ifananisha na wasiojulikana wa kitz flan hivi, yaan mpaka institution iliyokuwezesha haikujuj kabisa. Ile one man against a whole system, Six akiwa underdog, na sikuzote underdog huwa anakuwa na hali ya whatever it takes.
Top gun, kwa mimi napenda sana physics na science nzimainayotumika kudevelop na kutengeneza jets na military planes. Mfano ile ndege pale mwanzo ni kama wanapay homage kwa SR-71 Blackbird, (one of fastest planes ever built), pia wanatoa intro kwamba kitu gani kipo jikoni. Pia maswala ya laser guidance systems, g-forces, bunker buster weapons, SAM weapons, etc.
Pia nilipenda walipokubali kuwa figher za russia, hasa hasa suhkoi zipo flexible, na walipoitumia ile Su-57 nilifurahi sana. Then wakaonesha ile "cobra maneuver" 🙌🙌🙌🙌.
Bila kusahau Mil-Mi attack helicopter.
Ngoja niitafute hiyo ya 80sTop gun ni nzuri kama ulianza kuicheki ya kwanza, kama umeichekk hii ya 2 utaona ni movie ambayo haieleweki
Kbisa tunaangalia kumsubiri jamaa etu😂😂 she_hulk is 🚮🚮
View attachment 2360952
What? How? Garbage?Gray man NI garbage ukianza kuifikiria top gun ni Moto mwingine mkuu
Ngoja aje atasema 😅What? How? Garbage?
Mtaalamu naomba link ya Accident man Hitman's holiday haraka sanaNgoja aje atasema 😅
Sina aisee i bet haijatoka, ingetoka ningeonaMtaalamu naomba link ya Accident man Hitman's holiday haraka sana
Captain America: The winter soldier (2014)HII DIALOGUE IMETOKEA KWENYE MOVIE IPI YA Marvel?
Steve Rogers: We're taking down S.H.I.E.L.D
Maria Hills: We need to link all three carriers for this to work, because if even one of those ships remains operational, a whole a lot of people are gonna die.
Nick fury: We have to assume everyone aboard those carriers are HYDRA. We have to get past them, insert these server blades. And maybe, just maybe we can salvage what's left...
Steve Rogers: We're not salvaging anything. We're not just salvaging the carriers, Nick. We're taking down S.H.I.E.L.D.
Nick fury: S.H.I.E.L.D. had nothing to do with this..[emoji2955]
Steve Rogers: You gave me this mission. This is how it ends.[emoji853] S.H.I.E.L.D's been compromised. You said so yourself. HYDRA grew right under your nose, and nobody noticed!
Nick fury: Why do you think we're meeting in this cave? I noticed!
Steve Rogers: How many paid the price before you did? SHIELD, HYDRA, it all goes!
Maria Hills: he's right [emoji57].
Nick fury: [emoji15]
Natasha: [emoji849][emoji849]
Also Nick fury: [emoji15]
Sam Wilson: [emoji45] Don't look at me...[emoji3064]. I do what he does, just slower.
Nick fury: [emoji849][emoji853]
Steve Rogers: [emoji846]
Nick fury: Well......... It looks like you're giving the order now, captain.
Steve Rogers: ( [emoji41][emoji41] )
Ni favorite movie nilivyoona hiyo “we are taking down shield” nkajua moja kwa moja ni cap: wintersoldierHII DIALOGUE IMETOKEA KWENYE MOVIE IPI YA Marvel?
Steve Rogers: We're taking down S.H.I.E.L.D
Maria Hills: We need to link all three carriers for this to work, because if even one of those ships remains operational, a whole a lot of people are gonna die.
Nick fury: We have to assume everyone aboard those carriers are HYDRA. We have to get past them, insert these server blades. And maybe, just maybe we can salvage what's left...
Steve Rogers: We're not salvaging anything. We're not just salvaging the carriers, Nick. We're taking down S.H.I.E.L.D.
Nick fury: S.H.I.E.L.D. had nothing to do with this..🤨
Steve Rogers: You gave me this mission. This is how it ends.🙁 S.H.I.E.L.D's been compromised. You said so yourself. HYDRA grew right under your nose, and nobody noticed!
Nick fury: Why do you think we're meeting in this cave? I noticed!
Steve Rogers: How many paid the price before you did? SHIELD, HYDRA, it all goes!
Maria Hills: he's right 😏.
Nick fury: 😳
Natasha: 🙄🙄
Also Nick fury: 😳
Sam Wilson: 😟 Don't look at me...🥺. I do what he does, just slower.
Nick fury: 🙄🙁
Steve Rogers: 🙂
Nick fury: Well......... It looks like you're giving the order now, captain.
Steve Rogers: ( 😎😎 )
Vitu gani hivyo? Nikairudie tena maybe kuna videtails navimiss sehemu.Ni favorite movie nilivyoona hiyo “we are taking down shield” nkajua moja kwa moja ni cap: wintersoldier
Kuna siku nilikuwa high na hii movie ndio ilikuwa inaplay kiukweli niliona weird stuffs nikawa na hallucinate aisee, sikurudiaga tena
Naunga mkono hoja movie mbaya balaa mpaka nikajuta kumaliza mb zangu maana sijaamin nilichokuwa nakionaJana nimecheck Thor love and thunder sina cha kusema zaidi ya I'm disappointed.
Wametumia nguvu nyingi kuifanya kama Ragnarok lakini wamefeli vibaya.