OGTV
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 353
- 167
FIRST MISSION - Hold Onto Your Web-Shooters
Hii mission ya kwanza inaonyesha spider mpya ambaye ni miles molares akifanya mission yake ya kwanza akishirikiana na spider mwengine ambaye ni PETE, inaonyesha kuwa spider miles morales anaachiwa mji wa New York Peke Yake aulinde wakati spider wa zamani pete akienda vacation.
Check graphics ni nouma, napia story line yake ni nzuri sana.