Jamani siyo kweli kuwa Dr. Mary Nagu kaangushwa.
Nagu ameshinda tena kwa kura nyingi, ila Rosemary Kamili wa CHADEMA amekataa kusaini fomu za matokeo.
Matokeo:
Nagu CCM: 38,000 +
Kamili CHADEMA: 21,000 +
Hata hivyo halmashauri itaongozwa na CHADEMA, kutokana na kati ya kata 25 za jimbo la Hanang, 13 zimechukuliwa na upinzani.