Marylin Mashiba

Pia nilijua Body guards wao wanatoka Kitengo cha ulinzi wa viongozi(kama ilivyo Secret Service kwa US)..

Ukweli ni kwamba ADC sio Body guard.......Ni Mpambe tu wa Mkuu wa kaya

Aide-de-camp - Wikipedia, the free encyclopedia
Pamoja
 
wakuu muuliza swali alitaka tu kujua huyo amirlyn mashiba ni nani.. na ameshapata jibu!!! BASI HAYO MENGINE TUYAACHE............TUMESHAJUA BABAKE ANAFANYA IKULU, INATOSHA

Yap! Hiyo connection nadhani tulio wengi ndio tulikuwa tunataka kuijua. Issue ya justification, nadhani tumwachie mwenyewe na watu wake wa protokali.

Hata mimi ningekuwa yeye ningehudhuria hiyo send-off na dansi pia ningelisakata!
 
Pia nilijua Body guards wao wanatoka Kitengo cha ulinzi wa viongozi(kama ilivyo Secret Service kwa US)..

Ukweli ni kwamba ADC sio Body guard.......Ni Mpambe tu wa Mkuu wa kaya

Pamoja

Mkuu nadhani hapo unaongea kinadharia zaidi

ADC na Body Guard wote ni MILITARY OFFICERS - Naomba kwa manufaa ya mtiririko wa hii thread tuishie hapo!
 
Mkuu nadhani hapo unaongea kinadharia zaidi

ADC na Body Guard wote ni MILITARY OFFICERS - Naomba kwa manufaa ya mtiririko wa hii thread tuishie hapo!

Haya.................
 
Kuuliza si ujinga aulizae ataka kujua jamni kamoni pipo:grouphug:
 
Nimesoma na kulielewa babu/bibi.....So imefikia kipindi rais lazima tujue kila mtu ambaye rais atahudhuria shughuli yake....lol
Inevitable. JK = public figure.
Common sense.
 
Naomba kuuliza swali la kijinga: Hivi enzi za kina Filemon Mgaya kulikuwepo uwezo wa kifedha wa kufanya send off ya kifahari namna hii?
Ni swali la kijinga tu, nimeuliza.
 
Naomba kuuliza swali la kijinga: Hivi enzi za kina Filemon Mgaya kulikuwepo uwezo wa kifedha wa kufanya send off ya kifahari namna hii?
Ni swali la kijinga tu, nimeuliza.

swali la nyongeza kabla kukujibu:naomba unifahamishe hii send off ya ''kifahari'' imecost kiasi gani??
nb:harusi/send off watu wanachangiana.
 
Naomba kuuliza swali la kijinga: Hivi enzi za kina Filemon Mgaya kulikuwepo uwezo wa kifedha wa kufanya send off ya kifahari namna hii?
Ni swali la kijinga tu, nimeuliza.

Na Filemon Mgaya ndio nani?
 
Alikuwawa ADC wa Nyerere enzi hizo. Alioza wanae bila sendoff za kifahari kama tunavyofanya leo.

Say what you want about Nyerere but you can't say that he and his administration didn't uphold the highest of ethical and moral standards.
 
Bado unau-defend u-presidential candyman in the midst poverty as a non-petty issue?
 
Bado unau-defend u-presidential candyman in the midst poverty as a non-petty issue?

I'm rather amazed at the gross pettiness/ small-mindedness shown by the so called creme de la creme of this forum. Grown ups crying, moaning, and bitching about candy and a send off party....socialist please....
 
Hakuna cha ajabu JK kuhudhuria send off ya Marylin. Kwani nyie mlimwalika kwenye sherehe zenu akakataa kuhudhuria? ( Baba yake Marylin anafanya kazi ikulu kama mnataka kujua connection)....

Ndugu...... jaribuni kusoma thread kwa uangalifu na msilete mambo ya Mwananyamala kwa kopa hapa! Waswahili tumelaaniwa? Maneno meeeeeeeeeeeeeeeeeeeengi point zero!
 
Kelele nyingi na maswali mengi ni kwa sababu jamaa ni kilaza na msanii... hatimizi wajibu wake. Ndiyo maana wengi wananapoona hiyo sura wanakasirika kwani anachofanya hakionekani. Anazuka kwenye sehamu kwa usanii usanii...
 
mwe?! kwni huyu siyo yule mwenye imalaseko? anfanya ikulu siku hizi? au nimekosea jina?lakini huwezijua wengi wanaofanya ikulu hatuwajui wengine wanafanya biashara zao kumbe ni part time state house staff,vinginevyo kama ndiye wa imalaseko si ajabu J K na hata mama Tunu kuhudhuria ni mtu maarufu yule na pengine m,wana mtandao
 
ndio, ulikuwa hujui? tumemwajiri, tunamlipa mshahara tukitaka kujua anafanya nini ni haki yake. Besides, can't help it if the the mind wonders... You are being defensive where no defense is needed

Mh ndivyo ilivyo kwa mwajiri wako? Anajua kuwa unadumisha mila kulee karibu na CHAWOTE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…