Masaa kama haya

Nimejikuta kuchekaa baada ya kuona mtu wa kwanza kukoment ni.......
Kwani nayeye alikusaliti kama yule wa enzi za yesu......[emoji13] [emoji13]
Lakini usishangae Mkuu, skuizi humu Jf tumekuja na mtindo mpya wa couple mushara....[emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mimi yuda wangu yupo nyuma ya nondo tayari.
Yuda wangu ni mwizi, hakufanya makubaliano kama yule yuda wa enzi za yesu...[emoji23] [emoji23]
Ulimpata mkuu yuda wako?au ndio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…