Masaa mawili baada ya Mange kusitisha promo ya Seduce Me, Zilipendwa yakamata #1 on Trending

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Jana simba wa Moro alinena ukweli. Alichokisema naona sasa kimetimia taratibu.

Baada ya [HASHTAG]#MangeKasema[/HASHTAG] kuutangaza wimbo wa Seduce Me kwa siku nne mfululizo na kufanikiwa kuwakamata masikio na mpaka kuwashawishi wanasiasa na watu wengine maarufu ambao kimsingi hata wimbo wenyewe hawajauona zaidi ya video fupi za kwenye ukurasa wa Mange, Sasa amesitisha promo hiyo na ndani ya masaa mawili wimbo huo umeporomoka kwenye video zinazotrend YouTube.

Asante Sana [HASHTAG]#mangekasema[/HASHTAG] kwa kumhadaa KingKiba kwa views 100 kwa mtu mmoja na mpaka kuunda kundi la kuhamasishana kukesha kutizama wimbo wa Seduce Me Youtube ili kuvunja rekodi.

 
Naona na ww upo kwenye promo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…