Kweli aisee ila viewers wa kununuaMimi nilisema huko nyuma hizi nyimbo 2 tuzipe wiki at least mbili ndio tutapata ukweli wa ipi bora, maana zile siku 3 za mwanzo ni upepo tu. Usikute baada ya wiki 2 Zilipendwa ukawa na views nyingi kuliko seduce me
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo ni vevo vs akaunti ya YouTube ya kawaidaNikiangalia tofauti ya views naona bado seduce me inazidi ile ya zilipendwa,mpaka sasa tofauti ya views imeshafika 830,000,sasa sijajua huwa wanaangalia vigezo gani kuifanya nyimbo itrend ya kwanza you tube, na huwa inachukua muda gani mpaka iondolewe
Mtu mwenye roho mbaya hakosi sababu ingawa kiukweli roho mbaya haina sababu. Watakuja tena kusema Mond kanunua viewers.Mimi nilisema huko nyuma hizi nyimbo 2 tuzipe wiki at least mbili ndio tutapata ukweli wa ipi bora, maana zile siku 3 za mwanzo ni upepo tu. Usikute baada ya wiki 2 Zilipendwa ukawa na views nyingi kuliko seduce me
Sent using Jamii Forums mobile app
Mange ana mchukia Diamond tangu Diamond aachane na Wema. Kwa wale tuliokua tukipita blog yake ya Uturn tuliona post za kumchamba Diamond alizopost halafu Diamond alivyoanza date Zari ndio kabisaaaa Mange akaweka post ya kusema miguu ya Zari ina ugonjwa ndio maana minene mpaka akaweka clips za video. Halafu sasa hivi Mange amegeuka anasingizia anamtukana Zari kwa vile Zari alimtusi Wema. Ni uongo mtupu. Mange alimuanza Zari immediately ilivyojulikana Zari na Diamond were dating. So answer you, the reason Mange hates Diamond is because Diamond dared to move on with his life when Wema dumped him.Diamond na mange wanamgogoro gani wajuvi haiwezekani wote tukaendeshwa siku NNE, tililikeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Binti KIZIWI??? Mange is a big loser.... anaishi maisha ya Kujilipua...Mi nafikiri muda umefika wa Alikiba for real kumtumia huyu mwana mama kwa manufaa ya mziki wake, kwa sisi wambea wa zamani (sio hawa chipukizi wa sasa) tunakumbuka Mange aliwahi kusema namnukuu "Diamond asingeachana na Wema, ningejitolea kuwa promoter wake kwa upande wa USA, tena bureee kabisa".... Mwisho wakunukuu.
Hii inanifanya niamini Mange anauwezo wakiushawishi ambae ungemsaidia sana Alikiba kumgaragaza mpinzani wake, kwakuwa ana influence ya ile timu ileeee, (timu dada mange kasema)
mbona kiba kalipia sponsor vevo hatusemi baada mwezi tutarudi hapa kuhesabu ipi ina viewers wengibosi.....iyo isiwape jeuri....diamond ameamua kulipia tangazo instagram...kaspomsor page kuipa kiki zilipendwa.....na pamoja na hayo yote bado gape linazidi kutanuka.....mpaka sasa utofauti ni zaidi la viewers laki tisa....pamoja na kusponsor post bado ameshindwa kupunguza gap kati ya viewers wa video hizi mbili.
Jana simba wa Moro alinena ukweli. Alichokisema naona sasa kimetimia taratibu.
Baada ya [HASHTAG]#MangeKasema[/HASHTAG] kuutangaza wimbo wa Seduce Me kwa siku nne mfululizo na kufanikiwa kuwakamata masikio na mpaka kuwashawishi wanasiasa na watu wengine maarufu ambao kimsingi hata wimbo wenyewe hawajauona zaidi ya video fupi za kwenye ukurasa wa Mange, Sasa amesitisha promo hiyo na ndani ya masaa mawili wimbo huo umeporomoka kwenye video zinazotrend YouTube.
Asante Sana [HASHTAG]#mangekasema[/HASHTAG] kwa kumhadaa KingKiba kwa views 100 kwa mtu mmoja na mpaka kuunda kundi la kuhamasishana kukesha kutizama wimbo wa Seduce Me Youtube ili kuvunja rekodi.
Gap ni lilelile mkuu laki 8-9.Tuletee na gap ya viewers kipindi kipusa anatrend #1 na sasa ambako domo anatrend #1
Lexus Mayai
You have been accomplished my hanging questions, thank you ,Mange ana mchukia Diamond tangu Diamond aachane na Wema. Kwa wale tuliokua tukipita blog yake ya Uturn tuliona post za kumchamba Diamond alizopost halafu Diamond alivyoanza date Zari ndio kabisaaaa Mange akaweka post ya kusema miguu ya Zari ina ugonjwa ndio maana minene mpaka akaweka clips za video. Halafu sasa hivi Mange amegeuka anasingizia anamtukana Zari kwa vile Zari alimtusi Wema. Ni uongo mtupu. Mange alimuanza Zari immediately ilivyojulikana Zari na Diamond were dating. So answer you, the reason Mange hates Diamond is because Diamond dared to move on with his life when Wema dumped him.
Je antrend #1 ?Wadanganye marofa na wapumbavu mbona kiba bado anaongoza kwa laki tisa zaid
Sent using Jamii Forums mobile app