Masaada wapendwa

Masaada wapendwa

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Nimepima UTI sina lakini napata maumivu kwenye kibofu cha mkojo je linaweza kuwa tatizo gani?au vidonda v ya Tumbo nilivyo navyo ushauri tafadhari

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
punguza matumizi ya pili pili kama wewe ni mtumiaji. Kingne jarbu kunywa maji kwa wingi.
 
Back
Top Bottom