Masada me ni mwanafunzi wa umeme Gari ndogo

Masada me ni mwanafunzi wa umeme Gari ndogo

devor

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2017
Posts
1,031
Reaction score
925
Habali wana jf na mafundi mliopo humu ndani.me nimwanafunz mwaka wakwanza nipo garage tandale nlikua naomba wajuzii wa haya mambo anisaidie kuanza na charge system gali ndogo :
 
Nilitamani nikueleze mengi na kwaundani sana kuhusu Auto electrical, lakini kwasababu tayari umesha fanya uchaguzi.....
Basi endelea kupata ujuzi kwanza, then utakuja utuulize pale utakapo maliza mafunzo yako
 
Karibu DAS Auto Center...utaelewa kitu gani unajifunza,maana hapa kwetu kazi za auto electrician tena zilizoshindikana ndio zipo
 
Nilitamani nikueleze mengi na kwaundani sana kuhusu Auto electrical, lakini kwasababu tayari umesha fanya uchaguzi.....
Basi endelea kupata ujuzi kwanza, then utakuja utuulize pale utakapo maliza mafunzo yako
Msaad please naweza nikapata chochote kutoka kwako naomba nisaidie hata Kama gali kubwa
 
Back
Top Bottom