Habali wana jf na mafundi mliopo humu ndani.me nimwanafunz mwaka wakwanza nipo garage tandale nlikua naomba wajuzii wa haya mambo anisaidie kuanza na charge system gali ndogo :
Nilitamani nikueleze mengi na kwaundani sana kuhusu Auto electrical, lakini kwasababu tayari umesha fanya uchaguzi.....
Basi endelea kupata ujuzi kwanza, then utakuja utuulize pale utakapo maliza mafunzo yako