Umefanikiwa kujua process zake mkuu ?.Shukran mkuu
Vipi kukiwa na hati mkuu.. nataka ninunue eneo lina hati ,vitu gan vya msing nizingatie kabla sijampa mpunga wangu,na vinahitajika kwenye kubadili jinaKama hakuwa na hati basi unabadili tu majina kwenye zile documents za wapimaji hati inatoka kwa jina lako.
Sijawahi kununua eneo lenye hati mkuu ila nadhani cha muhimu uende kuconfirm kama hati ni halisi na anaeuza ni mmiliki halali.Vipi kukiwa na hati mkuu.. nataka ninunue eneo lina hati ,vitu gan vya msing nizingatie kabla sijampa mpunga wangu,na vinahitajika kwenye kubadili jina
Shukran mkuuSijawahi kununua eneo lenye hati mkuu ila nadhani cha muhimu uende kuconfirm kama hati ni halisi na anaeuza ni mmiliki halali.
Fuata hatua zote muhimu na salama kwa manunuzi ikiwamo kuwashirikisha majirani wa eneo husika na kuhakikisha unatumia mwanasheria kusimamia mkataba wa manunuzi husika.
Ahsante.