Masada wanajamvi juu ya haja Ndogo

Masada wanajamvi juu ya haja Ndogo

TODO

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
219
Reaction score
62
Wife akienda kukojoa akimaliza tu Anaanza kuhisi anataka kukojoa tena na akienda anakojoa kidogo sana.tafadhali Tunaomba msaada wenu
 
Hilo litakuwa gono wahi kwenye vipimo fasta
 
Hilo litakuwa gono wahi kwenye vipimo fasta

Hahaa usivunje ndoa ya watu kabla hata hawajafika hospital.
Uwezekano mkubwa ni UTI, hasa kama si mjamzito na hana kisukari. (jiridhishe kama anakojoa mkojo kidogo ama mwingi)
Gono; kama kunawasha na anatokwa na uchafu wenye harufu (aina ya usaha hivi)-Vitu ambavyo hujavielezea.
Chamuhimu nendeni hospitalini mkuu.

tragedy of the commons
 
Wife akienda kukojoa akimaliza tu Anaanza kuhisi anataka kukojoa tena na akienda anakojoa kidogo sana.tafadhali Tunaomba msaada wenu

Pole ndugu, uwezekano mkubwa ni UTI aende kumwona daktari apate tiba
 
asanten sana ndugu zanguni.ngoja twende tukamuone docta asubuhi hii.
 
Hilo nalo ni miongoni mwa magonjwa mengi ya wanawake.
Kamwone dr fasta.
 
Back
Top Bottom