Hahaa usivunje ndoa ya watu kabla hata hawajafika hospital.
Uwezekano mkubwa ni UTI, hasa kama si mjamzito na hana kisukari. (jiridhishe kama anakojoa mkojo kidogo ama mwingi)
Gono; kama kunawasha na anatokwa na uchafu wenye harufu (aina ya usaha hivi)-Vitu ambavyo hujavielezea.
Chamuhimu nendeni hospitalini mkuu.