Masai apandishwa mabasi ya mwendokasi akidanganywa yanafika Arusha

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Kuweni makini
Masai mmoja mwenyeji Wa karatu, kapandishwa mwendokasi akiwa na lengo la kufika Arusha, masai huyo aliyeonekana mkali sana akiwa eneo la kimara baada ya kuambiwa watu wote kuwa basi letu limefika mwisho, hapo ndo akaanza kuhoji eti rafiki kwani hii Arusha imefika, baada ya kujibiwa hii haiendi Arusha; ndo akaanza kuwaka kwa kudai ile kijana ubungo nimeilipa 35000/= na kunileta Kwa hii basi yao Mpya! Sasa hii inatangaza imefika mwisho ...kwani hii Arusha?
 
350,000/- kwenda Arusha kwa basi au kwa vile kaambiwa ni mapya na ya mwendo kasi
 
asante kwa taarifa-burudani. nadhani unamaanisha kalipishwa 35,000/- maana hiyo milaki haiingii akilini labda kama ingekuwa kadanganywa mitiketi ya fastjet.
 
asante kwa taarifa-burudani. nadhani unamaanisha kalipishwa 35,000/- maana hiyo milaki haiingii akilini labda kama ingekuwa kadanganywa mitiketi ya fastjet.
35000
 
Msameeni itakua alitaka andika 35,000
 
hahahahahahahahaha
u made my day
 

Hapo kwenye bei pana mushkeri, mmasai wa karatu ajatoa 35,000 hata iweje
 
Masai wanavyoijua hela pimdi wakiinyala watoe kirahisi hvyo
 
Ata sishangai mie,maana ata LOWASSA alidanganywa apande bus la UKAWA eti litamfikisha Magogoni.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji84] [emoji84] [emoji84]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…