Masai na ndama

mfutwa1

Member
Joined
May 6, 2020
Posts
81
Reaction score
232
Wezi wa Mifugo waliiba ng,ombe kwa Mmasai kisha wakamfunga Mmaasai Uchi kwenye Mti ucku kucha Asubuhi Majirani wakamuona na kumpa pole akasema sisikitikii Ng'ombe Wangu kuibiwa bali huyu Ndama waliemuacha alikuja kuninyonya .......... yangu usiku kucha akidhani ni ziwa la Mama yake hapa nipo hoi kanipigisha mabao 6 mwiliwote unanivuta.
 
Duuu ngoja nimalizie hii kuberi kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Noma Sana
 
Na ndama anavyonyonya huku anapiga vichwa...πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…