mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hivi barabara ya kuelekea yatch club inatia fora,unakutana na mashimo,maandaki sehemu za huko ndiko wanakaa viongozi, Mabalozi, Wageni kutoka nje.
Wengine mpaka wageni wetu wanatuliza hivi huku ndiyo wanakaa matycoon mbona njia ziko ovyo.
Kingine cha ajabu hao wakandarasi wanachofanya ni kufukia tu mashimo uhuuni tu unafanyika.
Ni aibu sana maana wageni wanaona vituko tu.