Jamaa ndio kafika Masaki leo na kigari chake hicho cha mchongo anaanza kuiponda , lengo la thread yake ni ego tu wala sio kingineMasaki itabaki kuwa Masaki tu.
Gari lake wapi? Angalia vizuri hizo picha utagundua alipewa lift tu.Jamaa ndio kafika Masaki leo na kigari chake hicho cha mchongo anaanza kuiponda , lengo la thread yake ni ego tu wala sio kingine
Haha kwamba mrangi ndio amefika leo masaki!Jamaa ndio kafika Masaki leo na kigari chake hicho cha mchongo anaanza kuiponda , lengo la thread yake ni ego tu wala sio kingine
InahuzunishaHivi barabara ya kuelekea yatch club inatia fora,unakutana na mashimo,maandaki sehemu za huko ndiko wanakaa viongozi, Mabalozi, Wageni kutoka nje.
Wengine mpaka wageni wetu wanatuliza hivi huku ndiyo wanakaa matycoon mbona njia ziko ovyo.
Kingine cha ajabu hao wakandarasi wanachofanya ni kufukia tu mashimo uhuuni tu unafanyika.
Ni aibu sana maana wageni wanaona vituko tu.