Masanilo with Invisible

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
Kumuenzi Invisible van langu nimeweka chata la Jina lake na van langu lingine litaweka jina la Mzee Mwanakijiji, samahani sijawaomba idhini lakini in JF wote ni ndugu! Hizi van zitakuwa bongo kabla ya January!

Masa

Nilikuwa sijaiona hii, lol!
mpwaaz,
SHOCKED?
hahahaha

kuna fuso inapaki ubungo-maziwa imeandikwa INVISIBLE!NILICHEKA KIDOGO NIFE.nikaja kuhisi ni miradi ya jamii-media inc😀
 
Imetulia hiyo, sasa hiyo van kwa bongo utaipigisha mzigo gani?
 
Juzi juzi niliona van moja limeandikwa hivi:
 
Kumuenzi Invisible van langu nimeweka chata la Jina lake na van langu lingine litaweka jina la Mzee Mwanakijiji, samahani sijawaomba idhini lakini in JF wote ni ndugu! Hizi van zitakuwa bongo kabla ya January!

Masa

mkuu hiyo kali kweli
Bingo.
Nimewasiliana na kiwanda cha kufuli watengeneze bikini za JF.
unaonaje idea hiyo?? najua FIDEL anaiunga mkono
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
 
mkuu hiyo kali kweli
Bingo.
Nimewasiliana na kiwanda cha kufuli watengeneze bikini za JF.
unaonaje idea hiyo?? najua FIDEL anaiunga mkono
<INPUT id=gwProxy type=hidden><!--Session data--><INPUT id=jsProxy onclick=jsCall(); type=hidden>

Hahahaha dah itakuwa powaaaa sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…