johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ngoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste.
Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya mbele ya marais watano.
Mchungaji Masanja naye akamjibu Msigwa huko huko twittani kwamba hata msanii wa vichekesho Cedrick aliwahi kujoke kuhusu vita ya Iraq mbele ya Bush akiwa Rais wa Marekani
Niombe tu baba askofu Mwamakula awasuluhishe hawa wachungaji.
Maendeleo hayana vyama!