johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wapi?Hakuna mchungaji hapo ni ujinga mtupu
Labda ana maanisha Msigwa!! Hahahaha.Wapi?
Wa Pentecoste kama Msigwa!Masanja naye ni mchungaji ?
Lete ushahidi!Masanja mlopokaji
Kanisa la Masanja liko wapi?Wa Pentecoste kama Msigwa!
Leaders Club!Kanisa la Masanja liko wapi?
Masanja mzaha sana.Ngoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste.
Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya mbele ya marais watano.
Mchungaji Masanja naye akamjibu Msigwa huko huko twittani kwamba hata msanii wa vichekesho Cetrick aliwahi kujoke kuhusu vita ya Iraq mbele ya Bush akiwa Rais wa Marekani
Niombe tu baba askofu Mwamakula awasuluhishe hawa wachungaji.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa......anza na " Mchungaji "Masanja mzaha sana.
Akikosaga hoja twitter anakimbilia kitufe cha BLOCK
Hopeless kabisa
Nitakuwa wa mwisho humu duniani kuamini Masanja ni mchungaji.Hahahaaaa......anza na " Mchungaji "
Hili ndilo tatizo kubwa la uongozi wa CCM. Kila rais anaingia na misukule yake. Magufuli alikuwa na kina Makonda, Sabaya nk, sasa na Samia naye kaingia na hii ya kwake.Ngoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste.
Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya mbele ya marais watano.
Mchungaji Masanja naye akamjibu Msigwa huko huko twittani kwamba hata msanii wa vichekesho Cetrick aliwahi kujoke kuhusu vita ya Iraq mbele ya Bush akiwa Rais wa Marekani
Niombe tu baba askofu Mwamakula awasuluhishe hawa wachungaji.
Maendeleo hayana vyama!
Masanja ana uvhubgaji gani darasa la nne b huyu?? Uchungaji ni process sio sawa na degree zenu za kuokota jalalani.Ngoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste.
Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya mbele ya marais watano.
Mchungaji Masanja naye akamjibu Msigwa huko huko twittani kwamba hata msanii wa vichekesho Cetrick aliwahi kujoke kuhusu vita ya Iraq mbele ya Bush akiwa Rais wa Marekani
Niombe tu baba askofu Mwamakula awasuluhishe hawa wachungaji.
Maendeleo hayana vyama!
Wabongo mna tabu sana. Sasa watu kama unawa-follow wa kazi gani? Namna pekee ya ku-deal na wachumia tumbo kama hawa ni kutowapa attention ya aina yoyote.Masanja mzaha sana.