MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
katika hali isiyo ya kawaida wasanii wameendelea kupata walichokuwa wanakitafuta baada ya Emmanuel Mgaya kuungana na Uwoya kuisoma namba.
Masanja aliyedhania Ubunge ni kazi rais kama kufanya komedi amepata kura 19 tu kati ya mamia ya kura za maoni na kufanikiwa kumshinda mtu mmoja tu kati ya wagombea 7.
Hata hivyo wakazi wa Ludewa wakimshauri aendelee na komedi,wengine wakimwambia akalime mpunga wakati wengine wakimshauri awekeze kwenye uchungaji zaidi.
Jamani ccm ina wenyewe