Masanja kapata kura 19 kati ya 1193 huko Ludewa, ameshauriwa awekeze kwenye Komedi

kweli nyumbu mnashida sana,masanja hakupiga kampeni za CCM ili apewe ubunge
CCM haigawi viti hovyo kama nyumbu wanavogawa kwa vimada vyao,,hata CDM inawenyewe ambao ni watu wa kaskazini na vimada wa viongozi....nyumbu wa kike wanazungusha viuno ubunge huu,kazi kwako nyumbu wa kiume zungusha mikono utaletewa mashine ya juice ya miwa
 
Wenyewe wana kiswahili chao cha kitapeli tapeli eti kura hazikutosha. Hahahahaha, tutakuja kuwamiss siku moja hawa jamaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…