chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Masanja amedai kuwa kesi ya kuvaa sare za polis ilimfanya akakatiza honeymoon yake ila amedai walienda na sare hizo baada ya kusikia kuwa Kova atakuwepo na waizivaa ili kwenda kukuza mahusianao kati yao.........