Masanja Mkandamizaji aokoka


Bravooo
 
Kama Kweli basi na maneno ayasemayo yatoke katika Kinywa safi,

Sio mambo ya kutwambia yeye ni Silinji na anachoma watazamaji wa Kipindi chake,
 
Wa mwisho atakuwa wa kwanza, si ndo maandiko.
 
Dili hilo.

Wachungaji wengi huwa wanatafutia wafadhili clip au picha kama hizo.

Sitashangaa baada ya mda mfupi akafadhiliwa mamilioni ya fedha ajengee kanisa, nae akaponea hapohapo kwa kuporomosha ka bangalow kake.

Dini siku hizi ni dili la ukweli.
 
yesu ni mwemaaa..wacha kondoo warudi kundinii
 
Mtanitambuaje kama nimeokooooooooka,mtanitambua kwa matendooooo!
 
Kuokoka siku hizi ni kama fasheni kila mtu tunasikia kaokoka , lakini matendo yaleyale.
 
Wafilipi 1:15-17 (Paulo anasema)

15Ni kweli kwamba wapo ndugu wengine wanaomhubiri Kristo kutokana na wivu na kwa kutaka kushindana; lakini wengine wanamhubiri Kristo kwa nia njema. 16Hawa wanahubiri kwa moyo wa upendo, wakifahamu kwamba Mungu ameniweka hapa kifungoni ili niitetee Injili. 17Hao wengine wanamtangaza Kristo kwa tamaa ya kupata sifa wala si kwa moyo wa upendo, wakifikiri kwamba kwa kufanya hivyo wataniongezea mateso yangu kifungoni.

Philippians 1:15-17 (New Living Translation)


15 It's true that some are preaching out of jealousy and rivalry. But others preach about Christ with pure motives. 16 They preach because they love me, for they know I have been appointed to defend the Good News. 17 Those others do not have pure motives as they preach about Christ. They preach with selfish ambition, not sincerely, intending to make my chains more painful to me.

 
Alikuwa anaact kipindi za Ze Original Komedy huyo..
 
Amechagua fungu jema, ni heri kumtumikia Mungu kwani naye atayafanya ya kwako! Mungu amtie nguvu na kumuongoza katika utumishi
 
Kwanza nampongeza sana Masanja kwa hatua hii. Amechagua fungu jema kabisa katika maisha, kumtumikia Mungu ni jambo la baraka. Tuzidi kumwombea Mungu amtie nguvu na kumuongoza katika utumishi pia nasi tuzidi kumshika Mungu na kufuata mafundisho yake. Pamoja na pongezi hizo napenda kuonyesha wasiwasi kidogo nikitazama picha yake kwa mbali inaonekana ki brother man ''' SINA UHAKIKA '' ila kama ni kweli ninachofikiria basi nashauri Masanja ahakikishe pamoja na utumishi amejivua Magamba yote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…