chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Uko kama Mimi....yaani kuuza mchele+matikiti+mchungaji=umiliki mgodi, migorofa, ndege[emoji15] [emoji15] [emoji15] moyo umegomaaamhhhhh ngumu kuamini kama ni pesa ya kuigiza tu na mashamba ....iko namna!
Kama sayanc ya Ng'ombe kula majani na kutoa maziwaUko kama Mimi....yaani kuuza mchele+matikiti+mchungaji=umiliki mgodi, migorofa, ndege[emoji15] [emoji15] [emoji15] moyo umegomaaa
Haaa haaa....unbelievableKama sayanc ya Ng'ombe kula majani na kutoa maziwa
Baki na mawazo yako mgando ya vijiweni hivyo hivyomhhhhh ngumu kuamini kama ni pesa ya kuigiza tu na mashamba ....iko namna!
we nae umepewa kichwa ufikiri sio kufuga chawa tu,hivi masanja unamfahamu?hayo anayofanya ni maigizo ya kutakatisha fedha,hebu fuatilia chanzo cha utajiri wake na muda alioanza kununua hivyo vi shamba ndo utajua mchezo anaoucheza.Baki na mawazo yako mgando ya vijiweni hivyo hivyo
Huu mchezo hauhitaji hasirawe nae umepewa kichwa ufikiri sio kufuga chawa tu,hivi masanja unamfahamu?hayo anayofanya ni maigizo ya kutakatisha fedha,hebu fuatilia chanzo cha utajiri wake na muda alioanza kununua hivyo vi shamba ndo utajua mchezo anaoucheza.