Baki na mawazo yako mgando ya vijiweni hivyo hivyo
Bado nafikicha machomhhhhh ngumu kuamini kama ni pesa ya kuigiza tu na mashamba ....iko namna!
we nae umepewa kichwa ufikiri sio kufuga chawa tu,hivi masanja unamfahamu?hayo anayofanya ni maigizo ya kutakatisha fedha,hebu fuatilia chanzo cha utajiri wake na muda alioanza kununua hivyo vi shamba ndo utajua mchezo anaoucheza.
we nae umepewa kichwa ufikiri sio kufuga chawa tu,hivi masanja unamfahamu?hayo anayofanya ni maigizo ya kutakatisha fedha,hebu fuatilia chanzo cha utajiri wake na muda alioanza kununua hivyo vi shamba ndo utajua mchezo anaoucheza.
Acha wivu tafuta pesa wewe mwanamke usisubiri upige mizinga kwa madanga yakowe nae kama wadada wa kona sinza mwepesi kuamini vitu bila kushirikisha kichwa, hata ukiambiwa masanja ana miliki tilioni 5 utaamini tu kwa kichwa panzi chako
Acha wivu tafuta pesa wewe mwanamke usisubiri upige mizinga kwa madanga yako
Huyo unaemuelewesha hamnazo mkuu bora umuache aendelee kuamini ujinga wake.ndo uwezo wako wa akili ulipoishia , kila kitu mnakimbilia wivu tu, au nawe nyumba ndogo ya masanja? yaan ghafla bin vuuu awapite wanakikundi wenzie utajiri zaidi ya mara 1000? sio kwa speed hiyo dada
hahahahaaaaa umesahau siku hizi anativi yake ya online kazi anaiwaiga mapunga na kuiga nyimbo za watu pamoja na kuigiza video za zamani anazirudia upyaMwenzake Joti anaendelea kuigiza kama jike
hahahahaaaaa umesahau siku hizi anativi yake ya online kazi anaiwaiga mapunga na kuiga nyimbo za watu pamoja na kuigiza video za zamani anazirudia upya
[emoji15] [emoji15] [emoji15] hadi ndegeUko kama Mimi....yaani kuuza mchele+matikiti+mchungaji=umiliki mgodi, migorofa, ndege[emoji15] [emoji15] [emoji15] moyo umegomaaa
Hukuiona shost?...mdege wa maana[emoji15] [emoji15] [emoji15] hadi ndege
Mmmh moyo unagoma kuamini asee uchungaji unalipa kiasi hiki? Maana toka alivoajiingiza huko ndo akaibukaHukuiona shost?...mdege wa maana
We Kama mmSijawahi kuamini na sintoamini
Kaanzia kwenye upastor ndo akaibuka Kama uyogawe nae umepewa kichwa ufikiri sio kufuga chawa tu,hivi masanja unamfahamu?hayo anayofanya ni maigizo ya kutakatisha fedha,hebu fuatilia chanzo cha utajiri wake na muda alioanza kununua hivyo vi shamba ndo utajua mchezo anaoucheza.