Sijaelewa hapa anamiliki vitu vyote hivi? Kama kweli kwa kazi gani? Hawezekani bwana achunguzwe huyu mhuniMkuu acha kushadadia mambo mengine yapo wazi tu hakuna utajiri ndan ya miaka 3 cjui 2 umiliki ndege, mgodi,magorof,mashamba .. Kuna namna
Uchunhaji na comedy[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijaelewa hapa anamiliki vitu vyote hivi? Kama kweli kwa kazi gani? Hawezekani bwana achunguzwe huyu mhuni
kwahyo unamaanisha wewe sio makini au unamaanisha nn ??Ndo masanja kijana makini
Mimi makin sana namzidi hata huyo masanjakwahyo unamaanisha wewe sio makini au unamaanisha nn ??
HeheSasa mbona ulikuwa unamsifia sana brother wakat wewe mwenywe naamin ni mpaganaji na makini [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
mhhhhh ngumu kuamini kama ni pesa ya kuigiza tu na mashamba ....iko namna!
kumbe nawewe umeshituka eeeh ..nilizani ni mimi ambaye siamin[emoji2] [emoji2] [emoji2]mhhhhh ngumu kuamini kama ni pesa ya kuigiza tu na mashamba ....iko namna!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenzake Joti anaendelea kuigiza kama jike
Unaakili ndogo. Gunia 5,000 za mpunga za debe kumi kumi kwa msimu mmoja tu ukiziuza mwezi wa 12 wakati debe moja linatembelea bei ya 32,000 utapata shiling ngapi?
Masanja mkandamizaji ametembealea mgodi wake wa dhahbu na kuonyesha zoezi zima la uchimbaji dhahabu linavyofanyika
wana makao makuu?Hivi Makao Makuu ya Ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi ( albino ) hapa Tanzania yapo wapi?
Kila kitu anachokifanya anataka kukionyesha kwa jamii,kuna nini nyuma ya pazia anakitakatisha?Masanja mkandamizaji ametembealea mgodi wake wa dhahbu na kuonyesha zoezi zima la uchimbaji dhahabu linavyofanyika
Lakini mwisho wake Joti ndie ataonekana mwanaume,wengine wanafanya wanayoyafanya kutakatisha pesa chafu ndio maana kila analofanya hupiga video ili aonekane utajiri kaupata kihalali afadhali ya Joti anayeigiza kama jike,ya mwisho haya na ngoma ikivuma mwisho wake hupasuka katikati ya sherehe,mwanawani.Mwenzake Joti anaendelea kuigiza kama jike
dua la kuku......Lakini mwisho wake Joti ndie ataonekana mwanaume,wengine wanafanya wanayoyafanya kutakatisha pesa chafu ndio maana kila analofanya hupiga video ili aonekane utajiri kaupata kihalali afadhali ya Joti anayeigiza kama jike,ya mwisho haya na ngoma ikivuma mwisho wake hupasuka katikati ya sherehe,mwanawani.
The Richest Man in BabylonLucky is merely when preparation meet the opportunity......
huo mchezo anaoufanya tuambie maana inaonekana unaujua sana..Wewe kaufanye piawe nae umepewa kichwa ufikiri sio kufuga chawa tu,hivi masanja unamfahamu?hayo anayofanya ni maigizo ya kutakatisha fedha,hebu fuatilia chanzo cha utajiri wake na muda alioanza kununua hivyo vi shamba ndo utajua mchezo anaoucheza.