Hongela=hongeraHabari njema hizo na hongela zake kwahilo alifikilialo kama atalifanikisha!
Sasa hapo si yupo sawa maana umesema Hongela=hongeraHongela=hongera
Mchekeshaji wa kikundi cha Orijino Komedi ameweka wazi mpango wake wa kufungua kituo chake cha radio na tv ambavyo atavisimamia yeye mwenyewe.
Akizungumza na 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM masanja amesema ameshapata mafunzo ya uandishi wa habari ili kujifunza namna ya kuendesha vituo hivyo.
Chanzo: bongo5.COM

insipiration from a guy who sarted fom a poor village, with almost nothingso what?
insipiration from a guy who sarted fom a poor village, with almost nothing
akafanya kazi, akasave sasa anawekeza asaidie taifa kwenye kodi na vijana kwenye ajira, na bado ni kijana mdogo, japokua yupo kama ana majivuno flani hivi, nime appreciate juhudi na vision zake, don't ya?
Asipokuelewa basi wivu utakuwa unamsumbua.insipiration from a guy who sarted fom a poor village, with almost nothing
akafanya kazi, akasave sasa anawekeza asaidie taifa kwenye kodi na vijana kwenye ajira, na bado ni kijana mdogo, japokua yupo kama ana majivuno flani hivi, nime appreciate juhudi na vision zake, don't ya?
kasome pia ukavichunguze utajua, maana sioni relevance ya swali lako kwenye uzi huu
Aisee kweli eh!?Sasa hapo si yupo sawa maana umesema Hongela=hongera
kama una point, ongea point yako ieleweke, la sivyo sioni sababu ya kuendelea kujibizana na wewekama unaishi kwa wakoloni huwezi kulielewa ila kama wewe ni mtoto wa bongo lazima tu hayo maneno tajwa utakuwa unayajua tu unless wewe ni ( kkb ), asante.
kama una point, ongea point yako ieleweke, la sivyo sioni sababu ya kuendelea kujibizana na wewe